Kiroja cha Ngerengere


Mkuu,

1. China ni strategic partner tangu uhuru. Ni rafiki wa kweli. Wametusaidia katika sekta mbalimbali za kijamii, kiuchumi, kielimu, kijeshi nk
2. Bado wanaendelea kutusaidia kujiimarisha kijeshi-kuna ubaya gani ? Au unataka tuwe shamba la bibi ? Angalia nchi zilizotuzunguka zinavyofanya halafu nadhani utapata jibu.
3. Usitafsiri kila kitu katika muktadha wa uchaguzi wa kesho ! Baada ya uchaguzi Tanzania itaendelea kuwepo. Kila serikali inahitaji jeshi imara ili iweze kulinda mipaka yake. Tanzania will prevail for our chidren and grandchildren !
4. Siku chache zijazo Wachina wataanza kujenga kiwanda cha nyukilia nchini Uingereza kwa ajili ya kuzalisha umeme. Hii ni dalili nyingine kuwa China hivi sasa inatambulika siyo tu kwa sababu ya uwezo wake kiuchumi lakini pia kiteknolojia.
5. Ama kweli ahsante ya Punda ni teke ! Waombe radhi Wachina na ukumbuke kuwa wao siku hizi hawana kiherehere na siasa za ndani. Wao ni kazi tuu !
 
Mlizusha ya CDF Sasa mmeumbuka hamtaki watu wahoji hiyo tabia ya kutunga na kusambaza tuhuma ili kujipatia mtaji wa kisiasa ... Aibu zenu..... Njia ya mwongo ni fupi sana ......

Walisemaje Kuhusu CDF? Nakumbuka yule kijana alidai "CDF Kala chakula chenye sumu na akakimbizwa hospitali kwa matibabu". Tunajuaje kama "kurudi" kwake "hajatokea hospitali matibabuni?". Kwani alisema ameaga dunia? Ikumbukwe kuwa taarifa rasmi ilidai kaenda ziara ya siku 9 Lakini ameonekana baada ya mwezi (almost).
 
Yaani uwanja wa jeshi mnaipa jeshi la nchi nyingine liwajengeee?
Kiukweli hii nchi Mungu pekee ndio anatushikiria na sio tofauti na hapo
 
 
Yaani uwanja wa jeshi mnaipa jeshi la nchi nyingine liwajengeee?
Kiukweli hii nchi Mungu pekee ndio anatushikiria na sio tofauti na hapo

hatuna technplogy ya kifanya hayo,,,hiyo ni military base,,huwezi kuipa kampuni ya MECCO CONSTRUCTION au NYANZA ROAD wajenge,,kuna vifaa vya kijeshi vitawekwa mfano rada,,,,sasa hapa wapi tunatengeza military rada?
 
bora uwe ukoroniwe na mmarekani kuliko mchina huyu wa siku hizi.

hadi inzi watachukuliwa
 
Shida mikopo ya awamu hii inayoongozwa na Jakaya Kikwete,imekuwa ina lazimisha kukopa hata mikopo isiyo na tija wakati yeye amegawana na baadhi wanafamilia yake pesa za Escrow na kila siku anakunywa nao chai Ikulu.
 

so what is your point here?,,,yeah tu assume alipata food poisoning,,,si keshapona,,nini kinakukereketa labda,,,eeh?...

unataka tukusaidiaje hasa?
 
Yaani uwanja wa jeshi mnaipa jeshi la nchi nyingine liwajengeee?
Kiukweli hii nchi Mungu pekee ndio anatushikiria na sio tofauti na hapo

Mbona islaeri wanatengeneza military base za marekani??
 
bora uwe ukoroniwe na mmarekani kuliko mchina huyu wa siku hizi.

hadi inzi watachukuliwa

marekani amekoloniwa na china kama hujui,,,,china inaidai marekani pesa ndefu sana,,,pia wanahold bond za marekani wakiziachilia uchumi wa marekani utaadhirika vibaya
 
Mbona islaeri wanatengeneza military base za marekani??

Kwanza inaonesha hujui ndio maana umekosea hata jina Israel...
Hebu taja hiyo military base iliyo ndani ya Marekani ikiyojengwa na Israel
 
marekani amekoloniwa na china kama hujui,,,,china inaidai marekani pesa ndefu sana,,,pia wanahold bond za marekani wakiziachilia uchumi wa marekani utaadhirika vibaya

Kwahiyo kwa ajili marekani wanadaiwa na china basi hata sisi ni ruksa kudaiwa?
 
Educated Tanzanian are not only found OVERSEAS bro!!! we are here in Tanzania supporting UKAWA to take the power,you stay where you are with your fellow dreaming for god to do every thing for you.
 
Tunataka vichwa vya kututoa kwenye ukoloni mamboleo. Na dawa ni elimu tu. Mali asili tunazo.
.
 
 
Rev. acha uoga bana... Wachini ni ndugu wa damu na ccm .... wanasaidia kuwaua Tembo wa haribifu ... Unlike Wazungu wenye kujichukulia Dhahabu, Uranium, Almasi, Gas na Nickel Bure ... Wachina wako hapa kufanyakazi za Vibarua pia ...
 
Tanganyika not yet uhuru. Huyu mchina anaonekana kuwa mtamu sana. Mbona kila mradi mkubwa anapewa yeye? Uwanja wa taifa, uwanja wa ndege, bandari ya bagamoyo, miradi yote ya gesi, zana za kijeshi, na mingine itakayosainiwa kabla ya tarehe 26 october. Ni nini kilichojificha nyuma ya miradi hii tena kwa wachina tu? Au wamefadhili uchaguzi ili waweze kurudisha mitaji na faida zao? Ama kweli goli la mkono haliepukiki ili kuilinda hii mijitu iliyoiuza Tanganyika yetu.
 
Bado hujafunua na kugundua hiyo ni mikataba binafsi ya mtawala ila tumetwisha zigo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…