Kirimon school in Samburu closed for four days after boys beat up teachers

Iconoclastes

JF-Expert Member
May 26, 2014
4,091
2,509
1583231.jpg

Kirimon Primary School in Samburu West constituency will remain closed for four days until Friday after schoolboys beat up and injured two female teachers for caning them in front of girls.

On Monday, the school board, parents and Kenya National Union of Teachers officials held a six-hour closed door meeting at the school and decided to close the school for four days from yesterday. Classes should resume next Monday.
Knut branch secretary general Raphael Leshalote condemned the pupils’ attack and said education stakeholders have until Friday to hold talks and find a solution.

Board member Stiff Lengole urged teachers to remain calm as the issue is addressed.
“We will find a way of handling them because some children want to learn and their parents want their children to have education,” he said.
Respect the culture
Some parents asked the teachers to understand their culture.

“This is the third time such is happening in this school. The ministry should investigate the root cause of the problem. But we believe that there has been some cultural misunderstanding,” a parent said.
It is against Samburu culture to punish boys in front of girls and female teachers should respect their culture.

Morans are not humiliated
“It is not right to parade a moran in front of girls and start caning him. Morans are very short-tempered and the teachers should understand that,” another parent said.
Parents urged the school management to work with the community and involve them in their decision-making meetings.
They said the school never holds teachers, parents and pupils’ meetings where such issues can be raised and solutions reached before such attacks occur.

On Monday, the boys went to school with rungus and pangas and when one of the targetted teachers entered the standard six classroom, they attacked and injured her.

Other teachers came to her rescue and they were also attacked, but the boys had a grudge with two female teachers.
The pupils said their culture does not allow them to be caned in front of girls and they accused the teachers of humiliating and harassing them.

This is the third protest boys in the school have had over the issue. They also protested in 2007 and in 2011.

Kirimon school closed for four days after boys beat up teachers
 
these guys are my heroes!!!badass!! I have always dreamt abt beating up my teachers...
As a child, I fantasized at the idea on getting back at this teacher who was always picked up on me in class. I had lots of crazy ideas, like magically causing here desk to tumble, hitting her face with an orange ( without anybody seeing, ofcoss) etc.

Some of these teachers just dont treat their students right.
 
He hee, nimependa hao vijana, wale wanaovunjaga vioo na kuharibu shule huwaga mafara.
Inapaswa tatuliwa namna hii, Nako2Nako
 
He hee, nimependa hao vijana, wale wanaovunjaga vioo na kuharibu shule huwaga mafara.
Inapaswa tatuliwa namna hii, Nako2Nako
Lol! Naona kwenye social media, wengi wametoa maoni haya haya.

Kama ni hivi, basi walimu wanafaa kureview jinsi wanavyohandle wanafunzi shuleni.
 
As a child, I fantasized at the idea on getting back at this teacher who was always picked up on me in class. I had lots of crazy ideas, like magically causing here desk to tumble, hitting her face with an orange ( without anybody seeing, ofcoss) etc.

Some of these teachers just dont treat their students right.
lol!!!! we have all been there bro!! hahahahahahaha that part abt magic though!! haha
 
lol!!!! we have all been there bro!! hahahahahahaha that part abt magic though!! haha
Primary pupils can beat a teacher!!!!!!! Huu ni ujinga hata kama ni madam's... Walimu wanaume was absentee???... Dadek ningewatwanga sana hao watoto wa shule
 
Nilipokuwa nasoma shule ya upili, tulisoma na wanafunzi kutoka sehem mbali mbali ya nchi. Pale tulikuwa na mjamaa mmoja asili ya waGisu kutoka Uganda ambao wakati ule walikuwa na sifa ya kula watu. Inasemekana bado kuna wenye hui uraibu. Yaani huyo mjamaa alikuwa anatupasha stori za kutisha tisha kv usiwahi tembea pekee yako ukipatikana eneo la na ukiwa mgeni pale muwe mkitembea watatu, kisa weye kitoweo. Hakuwa na marafiki wa karibu na aliogopwa na wote hadi na waalimu akiwemo pia mwalimu mkuu. Sisi hatukuwa na sababu ya kushuku alichosema, mtu huongea stori za mazingira yake.
Mle pia tulikuwa na kundi la wanafunzi kutoka jamii ya wamaasai shuleni almaarufu Ole Soba. Hawa majamaa wanaporipoti siku ya kwanza walikuwa na silaha kama rungu na visu noma noma. Yaani ilikuwa ni burudani tu kusikia jinsi mwalimu mkuu akiwashauri wazazi kuwa kamwe hawatokubaliwa kuvimiliki na kuambiwa aidha warudi nazo au ziwekwe mahali kwa hifadhi mpaka mwisho wa muhula.

Hii ya moran wa kisamburu sio ajabu, lakini inachekesha kweli.
 
Lol! Hiyo ilikuwa shule gani morans wanaingia tu na marungu hivyo?
 
Hivi hao walim hawakusoma history? Wanacheza na morans ambao dunia nzima inawafaham na kuamini kuwa wamasai ndo kabila kubwa hapa Africa ambalo linasimamia mila zake?

Hapo suala lilikuwa rshisi kabisa, wangewaambia hao morans waende hata ofisini wakawanyuka mboko huko wakarudi kimya kimya!

Na nilivyoona hao vijana hawakukataa kuadhibiwa, ila walipinga kuadhibiwa mbele ya wasichana (kwa mila zao)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom