Kirikuuu

Mi nimeona jenereta hapo, halafu hayo matairi yalikuwa ya kitu gani kabla hajapachika hapo? au ya ZZK MBEYA?
 
Amejitahidi kiasi ila naona amezidisha baadhi ya vitu visivyokua vya muhimu pamoja na ukubwa wa cabin matokeo yake itambana katika ukubwa wa ubebaji mzigo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…