Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,976
- 142,212
inaonekana unachukizwa na kitendo cha wanasheria kuitwa wasomi,
anyway pole sana
wanaitwa hivyo na wataendelea kuitwa hivyo tumeikuta na tutayaacha hivyohivyo.
Ukipenda waite hao maengineer na wenye fani nyingine wasomi hakitapungua kitu chochote.
Hapana, wala sichukizwi bali nastaajabishwa tu.
Sihitaji pole yako.
Saying it so doesn't make it so. You can call yourself god if you want to because no one can stop you from doing that. But calling yourself god doesn't make you one.Take that.
Naam, kama ambavyo wanasheria kujiita wasomi hakuwafanyi wawe wasomi wala kuwaongezea au kuwapunguzia chochote.
So what's really your point beside blabbing mindless gobbledygook?
nimeshakusoma wewe ni mtu wa aina gani
I can't waste my time arguing with you.
Teh teh teh teh hivi ODILI SAMALU unajua hesabu? Unajua integration?
nimeshakusoma wewe ni mtu wa aina gani I can't waste my time arguing with you.
Yaani kwenye uzi huu ndo nimeshuhudia jinsi wanasheria walivyo wazuri kutetea usomi wao kwa kutumia matusi... Yaani wanakutukana wewe na wazazi wako... Hivi mwenye certificate ya sheria na mwenye Phd ya fani nyine, yupi msomi hapo...???
Ngoja wanasheria waje wajibu na sisi tusio wanasheria tusubiri jibuUkijibiwa swali lako kaka nitolee copy na mimi nitakurejeshea pesa yako ya copy
Watu wapo full kwa mapambano akuelewe au asikuelewe kwa ulichouliza anakupa za uso, dah hatari sana hii kama ndo wanasheria wetu hao.
Teh teh teh teh hivi ODILI SAMALU unajua hesabu? Unajua integration?
Mapambano yapi?
Mapambano ukiulizwa kwa hoja unajibu Matusi?
Hakuna Mwanasheria au msomi wa kada yoyote Chini ya Jua Aliyehitimu Elimu yake pasipo Magumashi Akashindwa tetea taaluma yake kwa hoja...
Msomi gani anatetea usomi wake kwa Mapambano ya Matusi!
Nini maana ya Usomi?
Wengi wao humu bado wapo Vyuoni,sishangai sana maana nasi tumepita huko na kupewa hizo SHUDU na Malecturers.
Lakini hizo tambo ziliishia Geti Maji na UCLAS.
Unapozungumza Lugha ya kitaaluma sehemu inayochukua Watu wa Kada mbalimbali ni Ujuha tu na si vinginevyo!
Nimepata kuwa Jirani na Wanasheria wabobevu katika taaluma hii, nje ya mipaka yao ya kazi sijawahi sikia wakilitumia hilo neno!
Ushauri:
Wengi wenu mnaotoka Mapovu Hapa ni Mwaka wa kwanza na 2,bado sana Mpiga msuli, mna safari ndefu sana kimasomo jikiteni huko kwanza.
Jamii zenu vijijini hasa mama zenu na dada zenu hawazijui haki zao jikiteni huko kwanza.
Bachelor of Legal Law (LLB)
Wakuu nimekuwa nikiona hili neno hasa kwa wale wanao chukua degree katika sheria..likiwa ni jina na kitivo chao.
Swali langu ni juu ya kirefu cha LLB, na origin ya neno hilo.
Naomba msaada.
Huyo hawezi lolote zaid ya hayo aliyokariri na hawezi simama mahakamani akaeleweka mbele ya wenzake, hawezi hata kupanga premises za kawaida tu kifikia conclusion!!!!!!
Yaani ni vile hatuwezi pata historia ila huyu sio hata intelligent!!!!!
Kuna Malearned humu pepa za kizembe zimeatoa jasho.
Napitia UE ya Udsm hapa jamaa yangu anawapiga msasa hawa 'malearned' walichoandika humo hamna tafauti na kijana aliye chora Nembo ya Freemason NECTA.
Uongo. Degree ya udaktari inaitwa Doctor of Medicine.Ndio degree pekee isiyokuwa bachelor of arts au bachelor of science
Ndio tunapiga sampling hapa mdogo mdogo mkuu, na mpaka sasa kwa kweli IT IS NOT PROMISING!!!!!!!Kuna watu wanaboa kabisa humu na vi gentleman vyao kila kukicha kujipalia ndo visom basi ka vip atupe hata theory alodevelop basi! Anyway atakuwa na matatizo binafsi aeleze tumsaidie