jokotinda_Jr
JF-Expert Member
- Apr 9, 2022
- 882
- 1,541
Habari za mda huu wana ndugu kwa mwenye kujua naomba mniambie kirefu cha FFU ni mara nyingi nimekuwa nikisoma kwenye magari ya polisi .... maana hata sielewi
Habari za mda huu wana ndugu kwa mwenye kujua naomba mniambie kirefu cha FFU ni mara nyingi nimekuwa nikisoma kwenye magari ya polisi ....maana hata sielewi
C Dhani kama wanapatikana dsm pekeeDsm umekuja lini, wasimamishe tu waulize utapata ushirikiano
Aisee!Field Force Unity
Dsm umekuja lini, wasimamishe tu waulize utapata ushirikiano
Ushapoteza maana yoteField Force Unity
Umejuaje kua mleta mada yupo Dsm?Dsm umekuja lini, wasimamishe tu waulize utapata ushirikiano