jokotinda_Jr
JF-Expert Member
- Apr 9, 2022
- 882
- 1,541
- Thread starter
- #21
Kweli aise tuliwahi kupiga polisi pale sayansi kona ukivuka mataa alikuwa pekeyake alizingua sana mpaka Leo hatuja pita maeneo yale tena na wala hatajumaki sura .... kama upo hmu jf atasoma hii commentHao ni wavuta bangi maarufu kwa jina la polisi wa kutuliza ghasia. Mara nyingi huamini wapo juu ya sheria.
Ila daima ujanja wao wakiwa wengi tu. Ukimkuta mmoja huwa wachumba tu.
Kwa kifupi ni wahuni wenye baraka za mamlaka.