Kiravu;watanzania wameshindwa kujiandikisha kupiga kura,muda umeisha

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,148
Watanzania wamelalamikia tume ya uchaguzi kwa kuwa na sehemu chache za kujiandikishia na huku ukifika watu wengi unakuta watu watatu tu..sehemu ya kimara ilikuwa ni sehem,u ilioathirka na swala hili baada ya kutokea folen ya watu huku wakilalamika kwa nini wanawanyanyasa...Nnape nauye ni mmoja walioathirka na swala hili pale alipofika huku amembea mwanae mchanga na bila huruma watu kushindwa kuwasaidia wenye watotot ama wenye ujauzito....na hivyo kushindwa kuendelea na shuguli ya kujiandikisha..baadhi ya watu wa kimara walilamika waandikishaji kwa kuwatishia kwamba wataita polisi na wamewambiwa wakiona shida yoyoyte wapige simu defender ije....

KAZI KWAKO MKUU.
 
huku watanzania wengine wakiwa hawana mpango wa kujiandikisha juu ya mfadhaiko wa ulaghai katika mfumo si wa uchaguzi tu lakini hata usimamiaji wa nchi. Hoiiiiiiiiiiiii!!
 
Binafsi hili zoezi zimenipita ila naona kama Gumashi tu ya CCM kuweka sawa karata zao za ushindi...Hawajatutendea haki watu wengi tuliomikoani..naona kama watatumia kigezo cha watu walioupdate info zao huenda kukawa na idadi ndogo ya wapiga kura mwaka huu
 
Back
Top Bottom