Ongea na mobile operator wako. Masharti ulioyo sign wakati unachukua simu yanaruhusu matangazo. Hata wewe ukitaka peleka tangazo lako, walipe wanalisukuma tu. Mimi nimejiandikisha kinondoni lakini nimepata pia. Na ni ujumbe mzuri of course, jione mwenye bahati kupata ujumbe huu.

View attachment 293759 Na hii ni sms yake nyingine Mbwa huyu!
View attachment 293758Hii ni moja za sms ambayo amenitumia muda huu.
Nasema Akome. Anachotakiwa kukifanya kwasasa ni kuandaa mawakili wa kumtetea dingi wake pindi Ukawa ikiingia madarakani juu ya wizi wake kupitia kampuni ya Meremeta. Asidhani Watanzania ni mazuzu na kwamba tunasahau kirahisi kihivyo!