Kiporo

kishachacha hiki kiporo,atakula mwenyewe aliyekitunza
 
Kiporo cha raisi Kikwete atakula lini, kinachacha.. Inavyoonekana hapa ni kwamba Kikwete anakiogopa kiporo chake mwenyewe. Huwezi kukiacha kiporo kwenye madaraka wakati unadai kwamba uchunguzi unafanyika.
 
Moja ya sababu za magonjwa kama tezi dume, ni kuendelea kula viporo katika umri wa uzee.
 
Bora angekuwa kiporo cha wali ndondo kama mimi.kiporo chenyewe ni cha ugali mlenda,na tayari kimesha chacha. Huyu prezdaa katuaibisha sisi wapenda viporo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…