Katavi Platinum Member Aug 31, 2009 41,983 12,703 Mar 21, 2012 #21 Kongosho said: Dah, mbona kwangu haifunguki, ngoja nitafute spana niifungue manywali. Click to expand... Una nuksi kajitose baharini mara saba...
Kongosho said: Dah, mbona kwangu haifunguki, ngoja nitafute spana niifungue manywali. Click to expand... Una nuksi kajitose baharini mara saba...
BADILI TABIA JF-Expert Member Jun 13, 2011 32,772 23,164 Mar 21, 2012 #22 hahahahahahaaa kipipi bwana jibu lako ni kweli kabisaaaa
A Ave Ave Maria JF-Expert Member Apr 22, 2011 10,707 5,674 Mar 21, 2012 #23 ndetichia said: huyu kipipi na mswalishaji viko sawasawa kabisa kuanzia muonekano hadi ufikiriaji... Click to expand... Wewe unajivunia nini katika hiyo miaka 50 ya uhuru????
ndetichia said: huyu kipipi na mswalishaji viko sawasawa kabisa kuanzia muonekano hadi ufikiriaji... Click to expand... Wewe unajivunia nini katika hiyo miaka 50 ya uhuru????
A Ave Ave Maria JF-Expert Member Apr 22, 2011 10,707 5,674 Mar 21, 2012 #24 BADILI TABIA said: hahahahahahaaa kipipi bwana jibu lako ni kweli kabisaaaa Click to expand... Umeona eeeh!! Unakuta kamtu kameulizwa eti nako kanaanza kushabikia tu..........sijui ni kuambukizwa?? heheh......una kabinti weye nikape twisheni??
BADILI TABIA said: hahahahahahaaa kipipi bwana jibu lako ni kweli kabisaaaa Click to expand... Umeona eeeh!! Unakuta kamtu kameulizwa eti nako kanaanza kushabikia tu..........sijui ni kuambukizwa?? heheh......una kabinti weye nikape twisheni??
A Ave Ave Maria JF-Expert Member Apr 22, 2011 10,707 5,674 Mar 21, 2012 #25 Katavi said: Una nuksi kajitose baharini mara saba... Click to expand... Khaaaa!!!! Asiporudi tunakudai wewe!
Katavi said: Una nuksi kajitose baharini mara saba... Click to expand... Khaaaa!!!! Asiporudi tunakudai wewe!
Michael Amon JF-Expert Member Dec 22, 2008 8,775 3,610 Mar 21, 2012 #26 Kipipi said: Ni yule yule........! We kodoa tu jicho vizuri......lol!!! Click to expand... Mhmmm!! Hapana, siamini. Lakini embu ngoja nikodoe macho vizuri inawezekana macho yangu yana matege.
Kipipi said: Ni yule yule........! We kodoa tu jicho vizuri......lol!!! Click to expand... Mhmmm!! Hapana, siamini. Lakini embu ngoja nikodoe macho vizuri inawezekana macho yangu yana matege.
A Ave Ave Maria JF-Expert Member Apr 22, 2011 10,707 5,674 Mar 21, 2012 #27 Young_Master said: Mhmmm!! Hapana, siamini. Lakini embu ngoja nikodoe macho vizuri inawezekana macho yangu yana matege. Click to expand... hahahahaaaa..........ngoja mama mchungaji atakuwekea picha nyingine!!! Pengine unaangalia kwa wasiwasi!
Young_Master said: Mhmmm!! Hapana, siamini. Lakini embu ngoja nikodoe macho vizuri inawezekana macho yangu yana matege. Click to expand... hahahahaaaa..........ngoja mama mchungaji atakuwekea picha nyingine!!! Pengine unaangalia kwa wasiwasi!
Michael Amon JF-Expert Member Dec 22, 2008 8,775 3,610 Mar 21, 2012 #28 Kipipi said: hahahahaaaa..........ngoja mama mchungaji atakuwekea picha nyingine!!! Pengine unaangalia kwa wasiwasi! Click to expand... Embu mwambie aniwekee haraka maana ahapa nilipo kiroho kinanidunda. Mapigo ya moyo speed 1000 Mbps both download and upload.
Kipipi said: hahahahaaaa..........ngoja mama mchungaji atakuwekea picha nyingine!!! Pengine unaangalia kwa wasiwasi! Click to expand... Embu mwambie aniwekee haraka maana ahapa nilipo kiroho kinanidunda. Mapigo ya moyo speed 1000 Mbps both download and upload.
A Ave Ave Maria JF-Expert Member Apr 22, 2011 10,707 5,674 Mar 21, 2012 #29 Young_Master said: Embu mwambie aniwekee haraka maana ahapa nilipo kiroho kinanidunda. Mapigo ya moyo speed 1000 Mbps both download and upload. Click to expand... Kwa nini???? Kunywa maji ya bomba kwanza utulie..........mama mchungaji bado yupo kwenye maombi eti!!
Young_Master said: Embu mwambie aniwekee haraka maana ahapa nilipo kiroho kinanidunda. Mapigo ya moyo speed 1000 Mbps both download and upload. Click to expand... Kwa nini???? Kunywa maji ya bomba kwanza utulie..........mama mchungaji bado yupo kwenye maombi eti!!
Michael Amon JF-Expert Member Dec 22, 2008 8,775 3,610 Mar 21, 2012 #30 Kipipi said: Kwa nini???? Kunywa maji ya bomba kwanza utulie..........mama mchungaji bado yupo kwenye maombi eti!! Click to expand... Maji ya bomba ya bomba hayanitoshi ngoja niite fire kabisa maana huu moto hauzimiki hata kwa mchanga.
Kipipi said: Kwa nini???? Kunywa maji ya bomba kwanza utulie..........mama mchungaji bado yupo kwenye maombi eti!! Click to expand... Maji ya bomba ya bomba hayanitoshi ngoja niite fire kabisa maana huu moto hauzimiki hata kwa mchanga.
A Ave Ave Maria JF-Expert Member Apr 22, 2011 10,707 5,674 Mar 21, 2012 #31 Young_Master said: Maji ya bomba ya bomba hayanitoshi ngoja niite fire kabisa maana huu moto hauzimiki hata kwa mchanga. Click to expand... Basi ngoja nije mi mwenyewe nikumwagie pipa zima kabisa..........!!
Young_Master said: Maji ya bomba ya bomba hayanitoshi ngoja niite fire kabisa maana huu moto hauzimiki hata kwa mchanga. Click to expand... Basi ngoja nije mi mwenyewe nikumwagie pipa zima kabisa..........!!
Michael Amon JF-Expert Member Dec 22, 2008 8,775 3,610 Mar 21, 2012 #32 Kipipi said: Basi ngoja nije mi mwenyewe nikumwagie pipa zima kabisa..........!! Click to expand... Pipa halitoshi. njoo na kisima kabisa.
Kipipi said: Basi ngoja nije mi mwenyewe nikumwagie pipa zima kabisa..........!! Click to expand... Pipa halitoshi. njoo na kisima kabisa.