Kipipi.....

Hahahahaaaa...........mama mchungaji weweeeee!!!!!
Ukiona hivyo ujue kakondoo hakanaga ushabiki! Hata angekuwa besti maridadi angejibu hivyohivyo............. lolest!!!!
 
Hahahahaaaa...........mama mchungaji weweeeee!!!!!
Ukiona hivyo ujue kakondoo hakanaga ushabiki! Hata angekuwa besti maridadi angejibu hivyohivyo............. lolest!!!!
Mwana kwetu,mboa hilo pozi la muulizaji halifanani na swali lol!
Au ndio alikua napima upepo kabla ya swali la pili hahahahah!
Mzima swaiba?
 
Mwana kwetu,mboa hilo pozi la muulizaji halifanani na swali lol!
Au ndio alikua napima upepo kabla ya swali la pili hahahahah!
Mzima swaiba?

Lol.......labda alikuwa anaelekea kufanya jaribio la kutoa ofa ya pipi kiwandani!!! Btw, mie mzima kabisa swaiba inakuwaje wewe?
 
huyu kipipi na mswalishaji viko sawasawa kabisa kuanzia muonekano hadi ufikiriaji...
 
Teh teh teh!!!
Mie mzima kbs wangu,
Ungerefusha story labda ungeambulia japo pipi ya kijiti lol!

heheh........hilo tumbo we unalionaje??
Halafu hapo bibi alikuwa keshanipa hela ya ubuyu twisheni.......ndo maana sikutaka stori ndefu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…