Kipindi unataka Ku settle ndo unajikuta central

mwanazuoni mgeni

JF-Expert Member
Sep 11, 2016
1,944
1,715
Hello wana jf,
Maana nzima ya kichwa cha hii mada ni sawa na ule msemo wa " unakumbuka shuka wakati pamepambazuka "
Katika maisha ya kawaidah ... Vijana ndo wanatazamiwa kuwa wana nafasi kubwa kutengeneza future zao, tofaut na wazee ambao umri ushakwenda na hvyo nafas yao kuonekana km imeshapita.
Lakini cha kushangaza ni sisi vijana, tumekua tukijisahau saana nakuona km vile muda upo ..kwa kuendekeza starehe na mambo yasiyo ya maana, badala ya kutumia muda tulio nao pamoja na rasilimali tulizo nazo ili kutengeneza kesho yetu iliyo nzuri.
Na hili husababishwa na aina ya marafiki ambao tumewachagua sisi wenyewe pamoja na mitazamo hasi juu ya maisha.ya kila siku. Kutokana na mfumo m'baya wa maisha tuliojiwekea hupelekea sisi kujisahau wakati muda unazidi kwenda...Tunakuja kustuka umri umeshaenda na majukumu yanakua yumetuzidi uwezo wetu....hapo ndo majuto yana anza.Yatupasa tutumie vizur muda tulio nao pamoja na kuwa na nidhamu ya matumizi ya fedha hii itatusaidia sana kuweza kutimiza malengo yetu
*kipindi unataka Ku settle ndo unajikuta central*
 
Ratiba ya kijana wa Tanzania.

- Kwenda mahakamani kumsindikiza Mbowe ameitwa na kamanda sirro

- Kuhudhuria mkutano wa Tundu lissu ukumbi wa karimjee

- Kutumia muda wote kutetea vyama na wanasiasa nk
 
Ratiba ya kijana wa Tanzania.

- Kwenda mahakamani kumsindikiza Mbowe ameitwa na kamanda sirro

- Kuhudhuria mkutano wa Tundu lissu ukumbi wa karimjee

- Kutumia muda wote kutetea vyama na wanasiasa nk
hana muda wa kukaa kuwaza maisha yake
 
Hili ni tatizo mkuu.
Unakuta hata tukifanikiwa kupata nafasi nzuri makazini kwetu cha kwanza ni kupanga nyumba ya gharama huko Mbezi beach na kununua gari za gharama.

Baada ya hapo, ni kuzingatia sehemu zote za starehe...kibarua kikisema tereee na yeye chaliiiii..
 
Afu tunakuja kustuka baadaye mda ushaenda ..ndo tuna pata akili ya utambuzi kuwa ..tulikua tunafanya makosa....yan sijui nani ametuloga jamani
 
Ratiba ya kijana wa Tanzania.

- Kwenda mahakamani kumsindikiza Mbowe ameitwa na kamanda sirro

- Kuhudhuria mkutano wa Tundu lissu ukumbi wa karimjee

- Kutumia muda wote kutetea vyama na wanasiasa nk
wanakula kwa kutafutiwa na nani?

Hii ratiba gani haina muda wa chakula?
 
Back
Top Bottom