Jazzie Member Joined Jan 30, 2008 Posts 73 Reaction score 35 Mar 13, 2013 #1 "Huko Waliko" ni kipindi kipya cha TV kinachopikwa tayari kuja kwenye luninga yako siku za karibuni. Lengo la kipindi ni kuelimisha na kujulisha yale ambayo Watanzania wanaoishi ughaibuni wanayaona na kuyapitia. Pata uhondo kidogo ndani ya Youtube. HUKO WALIKO PROMO - YouTube
"Huko Waliko" ni kipindi kipya cha TV kinachopikwa tayari kuja kwenye luninga yako siku za karibuni. Lengo la kipindi ni kuelimisha na kujulisha yale ambayo Watanzania wanaoishi ughaibuni wanayaona na kuyapitia. Pata uhondo kidogo ndani ya Youtube. HUKO WALIKO PROMO - YouTube