Kwa kawaida msikilizaji au mtazamaji wa vituo vya redio au runinga huvutiwa na kipindi kimojawapo kati ya vingi vinavyorushwa kwenye tv or radio stations.Je kwa upande wako ni kipindi gani unachokipenda kufuatilia kutoka kwa vyombo vya habari vya kimataifa(nje ya bara la afrika)? mimi nilikuwa nakipenda sana kipindi cha kimasomaso kilichokuwa kinatangazwa na BBC chini ya watangazaji TOM JAPAN na AMINA ABUBAKHAR