shida nikuwa huwa hawawezi kukosoa serikali au mifumo hata kama IPP dhahiri ,husubiri kiongoI mkuu akosoe ama atumbue nao huanza kuchambua
Sent using Jamii Forums mobile app
Wafanyakazi Wa TBC mmetumwa kuanzisha Uzi Wa kujisifia wakati hamna mnachofanya tuacheni tuendeleee na mapambano dhidi ya corona.
Kwakweli nimeamini watu mmeichoka kweli TBC Mimi mwenyewe ni mmojawapo wa waliyoichoka lakini waswahili wanasema mnyonge mnyongeni haki yake mpeni Sasa Mimi na wafanyakazi wa TBC wapi na wapi!Mleta mada kwanza kagundua kuangalia TBC ni kosa na kwalo hakuna wa kukusamehe, hvyo katafuta kwanza sababu iliyomfanya aangalie TBC ndo awasilishe mada yake.
Sent using Linux 10.29
Huyo jamaa ni ana PH.d ya kujua kujipendekeza.Yaaap, nami Jana nilikuwa mubashara at home nacheck mapigo ya Ardhio, mpaka ile anaingia waziri mwenye dhamana.
Obvious wamejitahidi sana ila hebu nimpe jongera yake Gabriel Zachariah, Jamaa ni fundi kwa uchambuzi na maswali pia..
Tutegemee mazuri zaidi pindi tu maboresho zaidi yatakavyokamilika hapo majira ya kiangazi..
Nasikia TBC utakuwa kama BBC