Kipindi cha PikaBom STARTV

Kipindi cha PikaBom STARTV

CharmingLady

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2012
Posts
18,304
Reaction score
12,999
Habari za usiku wanaCC....

Kwa walioangalia kipindi tajwa hapo juu wiki iliyopita na leo hii, Kuna kibwagizo cha wimbo "Malaika" ambacho katuni ya OBM ndio inauimba.

Mmmmh..... Kuna fasihi nzuri sana imetumika hapo.......

BIG UP SANA WABUNIFU WA PIKABOM

Kibwagizo chenyewe hiki hapa

"Tanzania nakupenda Tanzaniaaaax2"
Nami nifanyeje kijana mwenziooooo, sishindwi na mali ninayooo nitakuoa Tanzania....

Gesi yasumbua roho yanguuuu x2
Nami nifanyeje kijana mwenziooooo, sishindwi na mali ninayooo nitakuoa Tanzania...."
 
Kuna katuni inacheza "American kiduku style" ni balaa.....

Pia kuna matangazo ya biashara yaan full burudani aiseeeee.........
 
nakisikia tu. hivi kinaonekana siku gani kuanzia saa ngapi?. mia
 
wife charminglady hata sio wabunifu, wamekopi kipindi kimoja huko kenya kinaitwa The XYZ show kiko tv ya citizen kila jumatatu saa nne kasoro kumi usiku, kama huamini nenda youtube tafuta xyz show tena hawa pikabom wamekopi mpaka hao puppets maana wanafanana copyright
 
Last edited by a moderator:

Alaaaa.... kumbe, sasa hebu fanya manuva ya kuondoa hii thread make wamepata compliments zangu za bureee...

5450163072_b1b7a41612.jpg
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom