and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,227
- 39,713
- Thread starter
- #21
watanzania ni watu wavivu sijapata ona. unakuta eti kijana mzima wa afya na hana ulemavu wowote anadai eti yeye yatima asaidiwe!!! Kwani uyatima ndio ubaki kulia lia?
Hilo hitimisho lako ndilo sahihi kupita maelezo ila mengine yote ni kupingana na masilahi ya hicho chombo kumbuka kuwa ile ni sehemu ya biashara
Nipo tofauti kidgo nawe.
Katika story ya mtu,.kuna maonyo na mafunzo.mengi ambayo jamiii huweza kuipata,.pia kwa mtoa story huweza jikuta amesogea katika mikono itayoweza kumsaidia.
Kuna ambao huchangaiwa pale n.k
DNA aliimba "tupo na shida zetu tusikilize zako za nini"
Siamini kama wewe ni msikilzaji wa dhati wa kipindi hiki kama kweli wewe ni msikilizaji wa dhati basi jitahidi kuwa mkweli. Hiki kipindi kimesaidia sana watu wengi sana waliokuwa na matatizo makubwa lakini hilo hutaki kuliona ,watanzania tunatabia mbaya sana ya kupenda kukatisha tamaa watu wachache waojitahidi kuleta mchango fulani katika jamii,wewe at your level umefanya nini kusaidia jamii hii ya kitanzania ,njia panda kimekua voted ndio kipindi bora kabisa cha kijamii hapa TZ,tujivunze kuapriciate yale yanayofanywa na wengine.
Binafsi sioni kama ni kibaya sana japo hakiwasaidii waathirika au wenye majanga of such
my take;
iwe cente ya kusaidia watu wenye uhitaji maarumu let us say anaye ingia hapo asaidiwe na watu wanao donate
bado tunahtaji kujua matatizo kwani kuna watu wnapata matumaini mapya ecourages nk
umma utambue matatizo si0wote wanajua kuwa kuna watu hawana hata mlo mmoja
sorry for typos
Hiki kipindi hurushwa kila Jumapili kuanzia saa 8 mchana. Nimekuwa nikikisikiliza kwa muda sasa, lakini sijatambua lengo kuu hasa la hiki kipindi ni nini. Maana nionavyo ni kama mtangazaji " anawachora" wale wageni wanaoeleza matatizo mule, na "wageni" wanavyojiachia na matatizo yao utafikiri kuna la maana atakalopata humo zaidi ya kupewa pole na watuma sms/ wasikilizaji.
Wajameni, Watanzania tupunguze malalamiko redioni, huu umaskini tulionao haumalizwi kwa kuhojiwa redioni. Tunapaswa kufanya kazi kwa bidii na pia kuwa na nidhamu na matumizi.
Ni hayo tu kwa leo.
watanzania ni watu wavivu sijapata ona. unakuta eti kijana mzima wa afya na hana ulemavu wowote anadai eti yeye yatima asaidiwe!!! Kwani uyatima ndio ubaki kulia lia?
Ku-omba omba kusikoisha.Tumezoeshwa vibaya na viongozi wetu kuomba omba misaada,kwa hiyo hata sishangai.:llama: