Kipindi cha maswali na majibu Bungeni

koryo

JF-Expert Member
Jun 21, 2010
639
278
Binafsi kama mdau wa ufuatiiaji wa masuala ya Bunge sijaridhika sana na kipindi hiki.

Sababu kubwa maswali yanayoulizwa utekelezaji wake unatia mashaka kama kweli yale majibu yanayotolewa ni kweli majibu sahihi.

Pili majibu ya maswali ya nyongeza ni tofauti kabisa na majibu ya maswali ya msingi.

Ufanyike utafiti kama yale majibu yanayotolewa ni ya kweli au ni kuwaridhisha wauliza maswali.

Nashauri kipindi hiki kingefutwa ili Bunge lishughulike na masuala mengine.
 
Back
Top Bottom