TANZANNIA
JF-Expert Member
- Sep 29, 2015
- 1,047
- 384
Mimi huangalia sana ITV hasa taarifa za habari kwani naamini wako vizuri kwa hilo.
Tatizo langu lipo kwenye kipengele cha kushiriki kipima joto, zamani ili kushiriki tulikuwa tukitumia sms ambayo ni njia rahisi kutumia,kila mtu anaweza kutumia na mahali popote bila kujali una elimu gani.l
Lkini siku hizi ni shidaa!

Last edited by a moderator: