KIPINDI CHA HOJA YANGU Radio One | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

KIPINDI CHA HOJA YANGU Radio One

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mchemsho, Aug 30, 2011.

 1. mchemsho

  mchemsho JF-Expert Member

  #1
  Aug 30, 2011
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3,158
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Sasa hivi kinaendelea kipindi cha hoja yangu radio one stereo. Mada- KUBADILIKA BADILIKA KWA BEI ZA MAFUTA NCHINI, miongoni mwa wazungumzaji ni mwanaharakati Renatus Mkinga, watch out!
   
 2. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #2
  Aug 30, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,489
  Likes Received: 5,577
  Trophy Points: 280
  Renatus Mkinga kiboko aisee! Kipindi kimeisha ila kavuta hisia za watu maana sehemu niliyokuwepo watu walikuwa kimyaaa wakisikiliza misumari!
   
 3. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #3
  Aug 30, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,489
  Likes Received: 5,577
  Trophy Points: 280
  kawachana Ewura aibu tupu! Kawaambia serikali na Ewura wakapange bei kule kwenye visima vya mafuta na sio kutuchanganya mpaka watu wanaongea barabarani kama wanaimba chorus kumbe mafuta!
   
 4. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #4
  Aug 30, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,489
  Likes Received: 5,577
  Trophy Points: 280
  kasema viongozi wengi either wapo kwenye bodi au wanamiliki vituo vya mafuta,ndio maana wanayumbishwa na wauza mafuta,akasema kuna tatizo gani kwa serikali kuanza haraka kuagiza mafuta kwa bulk?
   
Loading...