Kipimo ndani ya uchumba

Kipimo ndani ya uchumba

Umeelezea vizuri sana mkuu, lakini urafiki hauna uzito katika mahusiano kiasi kwamba unaweza kuwa na rafiki wa kike mwenye rafiki mwengine wa kiume akiangalia bingo ya uchumba itaangukia wapi! Sasa akishakuwa mchumba ndipo atlist anakuwa na kauhakika kwamba ndoa itafuata, ndipo hapo majaribio yaanze.

mkuu si kweli, na urafiki ndo kila kitu mtu mwenye mkweli utamjua na anyekugizia hapo utamjua!

kama ni mtaka ndoa atajulikana na kama ni mjali utu kwanza atajulikana coz ukisema umuonyeshee ndoa kwanza atakuigizia kila kitu coz anataka ndoa!!!

urafiki ndo kitu kizur sana!!
 
Naeza kubali hii dhana coz huwa sielewi kbs mda stahiki wakukaa kwenye mahusiano mpk kufunga ndoa ni upi watu wanaeza kaa miaka3 wakahisi wanajuana vyakutosha lkn bado wakaja kuachana wengine wakakutana na ndani ya mwaka wakafunga ndoa na ikadumu vilevile kiukweli kwa sasa sielewi hasa ni nini kinachoendelea katika ulimwengu huu wa mapenzi nahisi kuvurugwa tu nakuona nyota....theres no formula

usivurugike aisee! Mkabidhi Mungu hitaji lako!!
 
muda wa uchumba fekero nyingi mana mtu umwambie ukweli akikumwagaaa,inakuejee afu ndo ushamzimikia,
tutajuana mbele kwa mbele,
kuna vitu being a woman huwezi ukatajaa tuu ili mwanaume wako akufahamu vizur,mfano ur sexual past n relationships,hapo.lazma upunguze namba,ikibidi useme hujawah kuwa serious na hzo habar,unaangalia lakn na mtu
haya kuna ingine let's say.kazi za nyumbani hupendi na huwa hufanyii mfano kufua labda au.deki,hivi uanze kabsa kupiga.promo oh me sipendi.kufua,say.whooo,ndani ya ndoa ndo utajua,
haya labda napenda viwanja sanaa,kwa mupenzi ambae unaona ana mwelekeo inabidi u regulate kdogo hii sekta,nk...
fekero.ztaendele kuwepo mana some of us can't handle real shit,mbele ya safari sasaaa heheheh,Mungu atusaidie ndoa zidumu

msema kweli mpnz wa Mungu!!
umenena vyema!!
halafu unamsoma na mtu unampeleka vile atakavyo yeye!!!
ila baadae sasa tobaaaaaaa!! Mungu turehemu waja wako aiseeee
 
wewe ulifanya hivyo?ulivyowekwa ndani ndo ulimuonesha rangi zote?
Sikua nasababu yakufanya hivyo kwani nilimpenda ndani ya roho yangu na daima ntampenda,yeye ni rafiki yangu,mshuri wangu,mumewangu,na Dad wa watoto wangu,mwenyezi mungu ampe uzima na uhai mrefu...
 
Back
Top Bottom