OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 3,693
- 9,351
1.Upo hotelini una mambo yako binafsi unakunywa zako kinywaji,
Meza jirani kuna mtu naye yupo busy na mambo yake, humjui hakujui wala hamjawahi onana,
Gafla anakufuata anakuomba umuangalizie vitu vyake anaenda toilet mara moja,
kakuamini mpaka kukuomba umtunzie vitu vyake ili hali humjui hakujui?
Wewe sio mwizi, kibaka au miongoni mwa watu wabaya mliopo pale?
Wewe ni mtu mwema?
Kwanini?
2.Unarafiki wa karibu, ndugu, mpenzi mnafahamiana vizuri na mnapatana sana,
Unamkopesha pesa kisha anakuzungusha au anakataa kukurudishia,
Unamshuhudia akitanua mahali na watu flani,
Huyo sio mwaminifu?,
Huyo ni tapeli?
Swali: kipimo cha uaminifu wa mtu ni muonekano wake wa nje?