Kipimo cha uaminifu wa mtu ni muonekano wake wa nje?

OMOYOGWANE

JF-Expert Member
Dec 30, 2016
3,640
9,220
1.Upo hotelini una mambo yako binafsi unakunywa zako kinywaji,
Meza jirani kuna mtu naye yupo busy na mambo yake, humjui hakujui wala hamjawahi onana,

Gafla anakufuata anakuomba umuangalizie vitu vyake anaenda toilet mara moja,

kakuamini mpaka kukuomba umtunzie vitu vyake ili hali humjui hakujui?
Wewe sio mwizi, kibaka au miongoni mwa watu wabaya mliopo pale?
Wewe ni mtu mwema?
Kwanini?

2.Unarafiki wa karibu, ndugu, mpenzi mnafahamiana vizuri na mnapatana sana,
Unamkopesha pesa kisha anakuzungusha au anakataa kukurudishia,
Unamshuhudia akitanua mahali na watu flani,

Huyo sio mwaminifu?,
Huyo ni tapeli?

Swali: kipimo cha uaminifu wa mtu ni muonekano wake wa nje?
 
Nongezea swali namimmi hapo..
Mtu mpole ni yupi..?
Yule asiyeongea na mkimya..?
Au upole ni matendo?
 
Nongezea swali namimmi hapo..
Mtu mpole ni yupi..?
Yule asiyeongea na mkimya..?
Au upole ni matendo?
Mtu mpole ninavyojua ni mtu asiye na hasira za haraka au anaweza kudhibiti hasira yake. Si muongeaji sana ila anaweza pia kuwa muongeaji ila anaongea taratibu na kwa sauti ya chini.

Mtu mkimya ni mtu asiyependa kuongea wala kuchangia mada. Anaweza kuwa mtu katili na mwenye hasira sana ukimbughudhi. Ni kama maji ya ziwa yanayoonekana kuwa tulivu na kuchachamaa wakati wa tufani.
 
Mtu mpole ninavyojua ni mtu asiye na hasira za haraka au anaweza kudhibiti hasira yake. Si muongeaji sana ila anaweza pia kuwa muongeaji ila anaongea taratibu na kwa sauti ya chini.

Mtu mkimya ni mtu asiyependa kuongea wala kuchangia mada. Anaweza kuwa mtu katili na mwenye hasira sana ukimbughudhi. Ni kama maji ya ziwa yanayoonekana kuwa tulivu na kuchachamaa wakati wa tufani.
Swali: kipimo cha uaminifu wa mtu ni muonekano wake wa nje?
 
Inaweza ikawa kwel muonekano unachangia kwa kias fulan. Maana kuna watu ukiwachek tu mmmmmmh lazima uhisi tu uyu si mtu salama.
 
Mtu mpole ninavyojua ni mtu asiye na hasira za haraka au anaweza kudhibiti hasira yake. Si muongeaji sana ila anaweza pia kuwa muongeaji ila anaongea taratibu na kwa sauti ya chini.

Mtu mkimya ni mtu asiyependa kuongea wala kuchangia mada. Anaweza kuwa mtu katili na mwenye hasira sana ukimbughudhi. Ni kama maji ya ziwa yanayoonekana kuwa tulivu na kuchachamaa wakati wa tufani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom