Kipimajoto ITV gidabudai ambana tadeo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kipimajoto ITV gidabudai ambana tadeo

Discussion in 'Sports' started by jogi, Aug 17, 2012.

 1. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #1
  Aug 17, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  Amepanic baada ya kuambiwa kamati ya toc ijiuzulu kutokana na kufanya vibaya kwa timu yetu iliyoshiriki mashindano ya olimpic 2012 london.
   
 2. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #2
  Aug 17, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  Mpiga simu kutoka mbagala amemponda tadeo kwa kupandisha jazba za kisiasa.
   
 3. n

  ndomyana JF-Expert Member

  #3
  Aug 17, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 4,732
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Anataman aombe mwongozo wa spika kipindi kiahirishwe huyu tadeo
   
 4. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #4
  Aug 17, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  Ameomba kutoa taarifa, amebanwa hadi macho yamemtoka.
   
 5. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #5
  Aug 17, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  Simu kutoka nzega;
  huyo bwana uliyemleta hapo . . . Hivi mnategemea tunaweza kupata ufumbuzi kweli . . . . . . . . . . .huyo bwana anaulizwa swali anaanza kuleta jazba, . . . . Usiwalete tena watu kama hao kwenye kipindi, sisi tunapenda kuangalia kipindi chako. . . . .

  Yaani usipime!!!!!!!! Tadeo anajutaaaaa.
   
 6. n

  ndomyana JF-Expert Member

  #6
  Aug 17, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 4,732
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Tadei Amepoa saiz baada ya kupewa madongo ya kutosha, anona aibuu kabak kujikanyagakanyaga tu
   
 7. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #7
  Aug 17, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  Tadeo: swala la rt limegharimu takriban miaka minne kulitatua, hii ni kutokana na baadhi ya wanachama kwenda mahakamani jambo ambalo ni kinyume na taratibu za michezo.
   
 8. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #8
  Aug 17, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  Gidabudai ni kiboko, SALUTE****
   
 9. TODO

  TODO JF-Expert Member

  #9
  Aug 17, 2012
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 219
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Gidabudai nimempenda sana.ana nidham ya majadiliano sana wakati tadeo anaingilia kati kwa jazba yeye katulia tuli mpaka aliporuhusiwa.kanifurahisha zaid mwishon wakati anamalizia.kasema atakuwa anafanya kama zantel "keep talking"
   
 10. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #10
  Aug 18, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 740
  Trophy Points: 280
  tz hii bana.
   
 11. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #11
  Aug 18, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,336
  Likes Received: 22,188
  Trophy Points: 280
  Gidabudai ni noma.
  Filbert Bayi anamuogopa kuliko anavyokiogopa kifo
   
 12. k

  kitero JF-Expert Member

  #12
  Aug 18, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 563
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jamaaa alipaniki alifikiri yupo mjengoni ali abebwe na madame.Hawa wazee ni wazee wetu ila tukiwaendekeza hatutafika popote wapo pale kwaajili ya matumbo yao tuu hawana mapenzi ya kweli kwa taifa,ni wakati wa vijana sasa inabidi kudai kila kitu kwa nguvu,hakuna mapinduzi wala maendeleo yaliyoletwa na wazee.
   
 13. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #13
  Aug 18, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,314
  Likes Received: 5,606
  Trophy Points: 280
  Jana kweli Tadeo alitoa povu na kupondwa saana na wadau kiasi kwamba akajuta hata kipindi kuwa live!angeomba kuondoka!inaonekana kuna network huwa wanaitetea na kuilinda!shame kwao kwa kubeba uozo
   
Loading...