Kipimajoto cha leo ITV

balimar

JF-Expert Member
Sep 18, 2015
7,712
13,621
Nimeshangaa ITV wanamuhoji mtu anafika katikati anasema sijaelewa swali halafu recording inarudiwa mpaka wakaona noma wakakatisha. Swali langu hivi unaanzaje kujibu swali usilolijua?
Na kumbe wanaojibu huwa wanapataga muda wakutoa majibu ambayo ni edit?
Aiseh nimechoka bila kufanya Kazi.
 
Hilo swali la kipima joto la Leo halieleweki ndiyo jamaa kajikuta kajibu halafu kajishtukia kakosea, swali halijajitosheleza
 
Technical fault ndogo tu hiyo na warusha matangazo walikosea kurusha clip kabla ya editing! Yaani mpo kukosoa each & every mistake mpaka unaandikia thread JF! This is too much jamani! No one is perfect
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom