mr gentleman JF-Expert Member Joined Aug 1, 2012 Posts 3,221 Reaction score 4,695 Aug 8, 2014 #1 Kutokana na Vijana wengi kujiita Wanyama! Jee Serikali itaandaa vp uwezekano wa kuweka mbuga moja Dar-Es- Salaam. Kujaa kwa maguest kipindi cha mvua, je ni watu wanajikinga na mvua
Kutokana na Vijana wengi kujiita Wanyama! Jee Serikali itaandaa vp uwezekano wa kuweka mbuga moja Dar-Es- Salaam. Kujaa kwa maguest kipindi cha mvua, je ni watu wanajikinga na mvua
mr gentleman JF-Expert Member Joined Aug 1, 2012 Posts 3,221 Reaction score 4,695 Aug 8, 2014 Thread starter #2 Makamu wa Rais kualikwa kwenye uzinduzi kila siku,Je atembee na mkasi wake maalum?
mr gentleman JF-Expert Member Joined Aug 1, 2012 Posts 3,221 Reaction score 4,695 Aug 8, 2014 Thread starter #3 Wauza majeneza wa manzese kukaa siku 3 bila kuuza hata moja, je sera ya serikali kuhusu vifo imetekelezwa?
Wauza majeneza wa manzese kukaa siku 3 bila kuuza hata moja, je sera ya serikali kuhusu vifo imetekelezwa?
mr gentleman JF-Expert Member Joined Aug 1, 2012 Posts 3,221 Reaction score 4,695 Aug 8, 2014 Thread starter #4 Msafara wa msiba kuwasha taa mchana, je ukitembea usiku zizimwe taa?
First Born JF-Expert Member Joined Jul 11, 2011 Posts 5,317 Reaction score 1,485 Aug 8, 2014 #5 mkuu naona unachangia mwenyewe ila muda si mrf watakuelewa..
miss chagga JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 57,802 Reaction score 49,109 Aug 8, 2014 #6 Magest kujaa wakati wa mvua ni.biashara.kama nyingine tu huwa inamsimu wa kuchanganya
mr gentleman JF-Expert Member Joined Aug 1, 2012 Posts 3,221 Reaction score 4,695 Aug 8, 2014 Thread starter #7 Watu wa mabondeni kuingiwa na maji mpaka majumbani.. je nguo zao zitarowa?
neggirl JF-Expert Member Joined Jul 30, 2009 Posts 4,864 Reaction score 2,157 Aug 8, 2014 #8 Hahaaaaaaa We una utani na Itv c bure.. tumaswali twa kitotooo
kabanga Platinum Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,649 Reaction score 19,042 Aug 9, 2014 #9 mr gentleman said: Makamu wa Rais kualikwa kwenye uzinduzi kila siku,Je atembee na mkasi wake maalum? Click to expand... mkasi anatembea nao kwenye gari....
mr gentleman said: Makamu wa Rais kualikwa kwenye uzinduzi kila siku,Je atembee na mkasi wake maalum? Click to expand... mkasi anatembea nao kwenye gari....