Kipima Joto ITV

Kipima Joto ITV

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,267
Najiuliza

  1. Kwa nini wale wa mitaani aghalabu huhoji wanaume tu?
  2. Hizi asilimia wanazipataje?
 
Sio wote wanaohojiwa wanaonyeshwa kwenye habari,
2.wengi wanashiriki kupitia mitandao ya kijamii e.g. faceebook
 
sio wote wanaohojiwa wanaonyeshwa kwenye habari,
2.wengi wanashiriki kupitia mitandao ya kijamii e.g. Faceebook

kwa hiyo katika wote wanaaohojiwa wanaoneshwa wanaume tu?
 
Inategemea na majibu mkuu ukizingatia cku zote dada zetu mama zetu wanakuwa busy sana na mambo yao, ni wachache sana wanaweza fuatilia haya masuala ukiweka na ugumu wa maisha
 
Inategemea na majibu mkuu ukizingatia cku zote dada zetu mama zetu wanakuwa busy sana na mambo yao, ni wachache sana wanaweza fuatilia haya masuala ukiweka na ugumu wa maisha
kweli tupu
 
Back
Top Bottom