Na wew unakiamin kipima joto cha ITV kinacho hoji watu watatu wa hapo kinondon halafu ndo unataka ireflect Tanzania nzima mkuu huwezi kuwa serious ..
kweli UKAWA mnajifariji, hivi hizo takwimu ni za watu wangapi walio piga kura? ngoja hiyo katiba ije kwa wananchi wanaone itapita kwa asilimia ngapi?