Kipima Joto ITV Live:Marekebisho ya mifuko ya hifadhi za jamii

Tafiti zinaonyesha ukimlipa mfanyakazi kwa mkupuo pesa yake inaisha,Fao la kujitoa linasababisha hali ya mfanyakazi kuwa ngumu--Mwakilishi NSSF
 
Sector za migodi,barabara na sector binasfi kazi huko hazina uhakika sana--Jafo
 
Tukitaka kuwatendea haki wafanyakazi lazima fao la kujitoe liwepo-Jafo
-Kwa sababu kazi zetu huku hazina uhakika
-Hakuna fursa kwa Mfanyakazi kukopa kutoka kwenye hio mifuko
 
Hii lazimisha lazimisha nahisi mifuko ipo katika dhooful hali ila kusema ukweli hawataki
 
Tanzania haijaridhia/haijatia saini mkataba wa ilo 102 sasa iweje wanasingizia kwamba wanafuata vigezo vya kimataifa kwa kufuta fao la kujitoa? Na kama wanafuata hvyo basi wawalipe watu wasio na kazi kama mkataba unavyosema-Sungusia
 
Inasikitisha kua Jafo hana points nzito kutetea hoja yake anazungumza kama ss wananchi wa kawaida.Baada ya kumsikiliza Magori alivyotetea position ya NSSF unaona kbs jinsi points za Jafo zilivyopwaya its like analazimisha!
 
Ili upate pension lazima uchangie miaka 15,sasa kwa mtu ambaye ajachangia kwa miaka hiyo 15 inamaanisha hata akifikisha miaka 55 hatopata pension,sasa kwanini wasimpe mapema hiyo hela yake?-Sungusia
 
Back
Top Bottom