Kipima joto itv live mada mikataba ya ruswa

Kipima joto itv live mada mikataba ya ruswa

Msando, Anasema viongozi wanaoitafuna hii nchi watambue kuwa leo wapo madarakani na kesho hawata kuwepo hivyo hizo mali za watanzania wanazopora wajue watanzania wemeamka na watakuja kuzirudisha hata kama ni kwa kujakuwafilisi wajukuu wao.
Jama naye ni mkali kumbe walisha ipereka kesi mahakamani kuhusu mikataba anamewatukana wanao husika na madini umeme amewaita nimazuzu inakuwejee? unaingia mkataba umeme uwake usiwake unawalipa kweli wanaakili si nimazuzu sii maneno yangu ni ya mtaram msije kunihukum
 
wapo kwenye hitimisho

tusiwafikishe wtz pabaya niwavumilivu

toka madini sasa wanahamia alidhi itafika atapakuishi tutakosa ana washukuru wtz kwa kuanza kuwa na mwamko na kuitikia
 
Back
Top Bottom