Kipima joto ITV: Deus Kibamba ndani

Kipima joto ITV: Deus Kibamba ndani

Wengine tuko mbali na tv jamani muwe mnatuwekea japo mada inayozungumzwa na mwenendo wa discussion najua kipindi hicho ni kizuriiiiiiii sana
 
Wanaichana ccm na viongozi wake wa kuteuliwa na jinsi gani wanavyochakachua daftari na wanavyowapigisha kura mamruki
 
Kibamba namkubali sana, ni miongoni mwa wachambuz wazuri sana wa siasa za bongo na dunia nzima. Huyu jamaa kila neno analosema ni point.
 
Kibamba namkubali sana, ni miongoni mwa wachambuz wazuri sana wa siasa za bongo na dunia nzima. Huyu jamaa kila neno analosema ni point.

Hili ni jembe magamba wanamjua vilivyo kwan anawachana live, huyu jamaa si ww tu unamkubali bali kila mpenda haki lazima amkubali.
 
Na hicho kichwa toka LHRC kinaitwa Harold Sungusia ni balaa.
 
Back
Top Bottom