My Son drink water
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 4,930
- 13,335
Haya bwana."MI6,na Mossad, haya mashirika yapo Kwa maslahi ya mataifa yao na watu wao, na hayatumiki na wanasiasa uchwara"
Na Bado mambo mabaya na mazito yanaenda kuwatokea ccmMajuzi Musiba kamtaja huyo Kipilimba "kiaina" kuwa "mkuu wa idara/taasisi nyeti anayempa Membe siri za serikali" (of course it is true lakini Musiba si mtu stahili kusema haya)
I knew it would one day come to haunt them. Walimfuga chatu, wakamlisha sumu ya kutukana #WatuHatari, leo chatu huyo huyo kawageukia wamiliki wake.
Majuzi Musiba kamtaja huyo Kipilimba "kiaina" kuwa "mkuu wa idara/taasisi nyeti anayempa Membe siri za serikali" (of course it is true lakini Musiba si mtu stahili kusema haya)
I knew it would one day come to haunt them. Walimfuga chatu, wakamlisha sumu ya kutukana #WatuHatari, leo chatu huyo huyo kawageukia wamiliki wake.
Wewe wa.kumfundusha Kipilimba kazi ?. dunia imekwisha[emoji23][emoji23][emoji23]Leo tena mimi na wewe mzee wangu, usije kudhani nakuchukia baada ya wiki iliyopita kukuandikia makala nyingine. La hasha, ila nakuonea huruma sana. Ni Kama hujui umuhimu na uzito wa kazi ulionao.
Musiba si mjinga wala kichaa kama watu wanavyodhania, bali kuna mtu mwenye nguvu kubwa kuliko wote Tanzania ndo yupo nyuma ya Musiba.
Maneno anayoongea Musiba, hayaongei kwa bahati mbaya au kwa kuhisi, bali ni mkakati maalumu mzito ili kufanikisha jambo maalumu zito.
Bahati mbaya zaidi ofisi yako inadhalilishwa na Musiba, huyu ni mtu Hatari sana ambaye idara yako ilitakiwa kumnyamazisha kimya hata kwa njia zisizojulikana Kwa ajili ya usalama wa nchi.
Musiba amekuwa msiba Kwa watu, hivi hujui athari ya kauli zake na tuhuma zake Kwa watu zinaweza kuchafua usalama wa nchi?
Huyu mtu amefikia hatua ya kuwagusa hadi marais wastaafu. Unadhani ni hali ya kawaida hiyo?
Wewe Kama Mkurugenzi mkuu wa TISS, unajua majukumu yako, hakuna wa kukufundisha kazi, ila hali ilivyo inaonyesha kabisa unafundishwa kazi.
Hivi unajua kuwa vita vya ghuba vilisababishwa na mtu kama Musiba, mkimbizi wa Iraq aliyekuwa akiishi Germany?
Musiba kaumiza wengi, na anaendelea kuwaumiza, na hakuna wa kumgusa huyu mtu, yupo juu ya sheria, a strong man is behind him.
Kwanini TISS imekosa uadilifu mikononi mwako?
Nakushauri u resign ili ulinde heshima yako, vinginevyo utaendelea kuvuliwa nguo.
Nilitarajia ungeiendesha Idara kwa muundo wa CIA, MI6 au Mossad, haya mashirika yapo Kwa maslahi ya mataifa yao na watu wao, na hayatumiki na wanasiasa uchwara.
Watu wanahangaika kuipasua Tanzania, upo umekaa unawatizama tu.
Kwa hiyo unasubiri kushuhudia Tanzania ikipasuliwa na wakati uwezo wa kuzuia unao? Ni kituko cha karne mtu mmoja tu anayejiita mwanaharakati anafanya lolote atakalo na hakuna wa kumgusa.
Yetu macho, siku mkianza kuvuna mnachopanda msikimbie.
Kwani ni nani huyo ulomtaja?Wewe wa.kumfundusha Kipilimba kazi ?. dunia imekwisha[emoji23][emoji23][emoji23]
Nilitarajia ungeiendesha Idara kwa muundo wa CIA, MI6 au Mossad, haya mashirika yapo Kwa maslahi ya mataifa yao na watu wao, na hayatumiki na wanasiasa uchwara.
Acha uongo, dunia nzima secret service wana siri nzito za ku eliminate watu bila nyinyi kujua!Umesema serikali imzime Musiba kwa njia zisizojulikana kwa usalama wa Taifa halafu unagusia CIA na MI6 kama mifano, don't be ridiculous, ongelea mambo yenu ya third world huku kunakonuka damu za raia chini ya mikono ya dola, sio Marekani,sio UK!
It is against Federal Law, ni kinyume cha sheria, kwa serikali ya Marekani ku assasinate mtu yeyote, raia, foreigner , kiongozi wa nchi nyingine, n.k., unless ametangazwa wazi wazi bungeni au na rais kwamba ni adui mpiganaji, enemy combatant!
Kwa hiyo tafadhali tumia mifano ya kwenu huku Burundi, Tanzania, Uganda, Kenya, Rwanda, Sudan, na kwingine Afrika kuchafu huku kunakovunda damu za wananchi.
Na Bado mambo mabaya na mazito yanaenda kuwatokea ccm
Kesi ya Membe kumshitaki Musiba inaendaje?