Kipigo

viongozi wa Afrika hawakujifunza kwa yaliyomkuta Muamar...sijui wamepumbazwa makusudi ili waaibishwe
 
hao viongizi walishindwa kusoma wakati. na hiyo hata bongo lazima ije itokee.
 
Hatari sana...

Ukishaisumbua serikali iliyopo madarakni na kuingoa haya ndiyo matokea yake...

Lazima uvunjifu wa amani utokee tuu... Bora tubakie hivi hivi na Tanzania yetu...


Cc: mahondaw
 
Mleta mada kama umetudangaja........Jua jamaa hata kama katolewa ila bado anawatu wake waliobak serikalin na bado baadhi ya viongoz jeshin wanamuunga mkono so hawawez kumwacha hadharan hivi na hali ikikaa vibaya tunaweza sikia jeshi kugawanyika na vita vikaanza. Baina ya wanajesh wanaomuunga mkono bashiru na wale walio upande wa wananchi
 
Ligogoma, umeshasahau maiti za Coco beach, azory, Ben saanane, Lisu 38, umesahau unasema tuko kwenye raiti taraka? Kweli mapenzi ni kipofu! Jiwe must be accountable!
 
Nilichodanganya ni kipi?
Kama kuna wanajeshi wanamuunga Mkono walishindwaje kumtorosha? Wakat Uganda alikubali kumpa hifadhi?
Nguvu ya umma ni kubwa kuliko vifaru na maroketi na mabomu
 
Ligogoma, umeshasahau maiti za Coco beach, azory, Ben saanane, Lisu 38, umesahau unasema tuko kwenye raiti taraka? Kweli mapenzi ni kipofu! Jiwe must be accountable!

Umeniuliza mtazamo wangu, nimetoa maoni yangu hayo. Wakitoka madarakani tutawafunga ila kwa sasa katiba zinawalinda, nadhani tuwe na subira japo Watanzania sisi wanafiki sana.

Tutawachukia leo kesho ndo huyo huyo tutampigia kura kwa kofia na kanga. Tulinde kura hamtaki mnaogopa sijui nini so ni ngumu kufanya alone, wacha tusubiri katiba ilonge, wakiikanyaga basi!! Tuvumilie tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…