Mitaa ya wapi au ya Lumumba??Hao mitaani wanasema wale waliotajwa hakuna hata CHADEMA mmojaHuku Mtaani CHADEMA kimesahaulika miongoni mwa watanzania.
Nawashukuru wananchi wanamuunga Mkono Rais Magufuli kwa juhudi zake za Kulinda Rasilimali za Nchi.
Wananchi wa wapi hao? Watanzania wote wanajua kuwa vita ya makinikia si vita mpya imeanza tokea 1998 lakini CCM waliipuza kwa kuwa kila Rais alikuwa na mbinu zake za kula cha juu na Rushwa ya madini, mkapa alikula chake akatoka alipoingia Kikwete akarekebisha mikataba kidogo na yy akavuna chake huyu wa sasa kaja na mbinu zake za mikwara akiwa na lengo lile lile la kuvuna huku akitaka mikataba mipya ili baadae atembelee migodi yote apewe mapande ya dhahabu kama alivyofanya Mkapa akauze apate pesa za kumalizia kujenga uwanja wa ndege Chato na kuwagawia familia zake, hujidai wana uchungu na Taifa lakini hata hizo pesa zikija hakuna mtanzania atajua matumizi yake kwa macho live tutaishia kusikia story kama pesa za chenji ya Rada ambazo zilipigwa na Wajanja kimara kimya, watanzania wengi wana imani na chadema wanajua kuwa wabunge wa CCM ndiyoooo.. walipitisha mikataba mibovu ambayo imeleta umasikini wa Taifa hili ni wajinga wachache wanaweza kuibeza chadema kama wewe.Huku Mtaani CHADEMA wamekosa Umaarufu mtaani wameshapata Usemi kuwa CHADEMA Wanashirikiana na Mafisadi.
Hivi karibuni ripoti za Mchanga zimekifuta chama cha CHADEMA and bouncing back is Unlikely na Uchaguzi wa 2020 mtapoteza Wabunge wengi na 2025 chama kitakua kimesahaulika miongoni mwa watanzania.
Nawashukuru wananchi wanamuunga Mkono Rais Magufuli kwa juhudi zake za Kulinda Rasilimali za Nchi.
Tutashitakiwa TutashitashitakiwaYani kuna waTz mna akili za ajabu. Kwa hiyo CDM kureason mikataba ya nchi mnaona ni kosa mnamshambulia Lissu? Wakat kamat ya pili maagizo aliyotoa rais ndo hayo aliyokua anapigania Lissu siku zote. Kwa akili hizi tuctegemee viwanda anytym soon. Nchi zote zilizoendelea ni democracy imefanya kazi. Mfano ni marekani, bungeni hadi wa chama kimoja wanapingana kwa maswala ya kitaifa. Huku wanalumumba mnataka anachosema Rais bac ni kitukufu kicwe reasoned. Haya subirini bac atakuja malaika kureason hela za bombardier na ikulu ya chato.
Hahahaaaa,,,,,,hivi huyo raisi ni mungu kiasi kwamba asitajwe??Tutashitakiwa Tutashitashitakiwa
Tutashitakiwa, au unasemaje?? Mange kasemaje nae au bado hajawalisha matango??Watanzania wengi wanajua Ukweli kuwa vita dhidi ya wizi wa madini ilianzishwa na chadema na mpaka sasa chadema wana msimamo mkali kuliko CCM wenye kujidai wana uchungu kumbe wana ajenda za Siri wamemtuma kikwete kwenda Canada kutengeneza njia za kuvuna pesa kimya kimya yaani CCM ni shiiiiida.
Ufipa, ni obvious!Mbona huku kwetu.ndio kwanza ngoma inogile kila mmoja anaimba CHADEMA. ..CHADEMA. ..CHADEMA 2020 njia ni nyeupe.
Tutashitakiwa Tutashitashitakiwa
Uchunguzi wako ulifanyia wapi?Huku Mtaani CHADEMA wamekosa Umaarufu mtaani wameshapata Usemi kuwa CHADEMA Wanashirikiana na Mafisadi.
Hivi karibuni ripoti za Mchanga zimekifuta chama cha CHADEMA and bouncing back is Unlikely na Uchaguzi wa 2020 mtapoteza Wabunge wengi na 2025 chama kitakua kimesahaulika miongoni mwa watanzania.
Nawashukuru wananchi wanamuunga Mkono Rais Magufuli kwa juhudi zake za Kulinda Rasilimali za Nchi.
View attachment 525537
Huku Mtaani CHADEMA wamekosa Umaarufu mtaani wameshapata Usemi kuwa CHADEMA Wanashirikiana na Mafisadi.
Hivi karibuni ripoti za Mchanga zimekifuta chama cha CHADEMA and bouncing back is Unlikely na Uchaguzi wa 2020 mtapoteza Wabunge wengi na 2025 chama kitakua kimesahaulika miongoni mwa watanzania.
Nawashukuru wananchi wanamuunga Mkono Rais Magufuli kwa juhudi zake za Kulinda Rasilimali za Nchi.
View attachment 525537
Wala wengine hawahitaji kuzeeka inawezekana tayari hata sasa!! maana kile chama chao ni zaidi ya mumianiWatu kama mtoa post huwa wanakuwa WACHAWI uzeeni