mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,664
- 18,039
Jana Simba pamoja na mambo mengine walikata pumzi. Beki za kushoto na kulia zilipotea kabisa, baada ya Galaxy kucheza mpira wa kasi kipindi cha pili.Bora tumepigwa mapema hope udhaifu umeonekana naamini huko kombe la shirikisho wachezaji dhaifu tulio nao sitegemeei kuwaona lakin viongozi wanao uza match kesho asubuh walimwe barua mapema
Nasikia kocha wao hana vyeti kama bashitetimu bovu, mwalimu vyeti hana basi tabu tupu
Wachezaji wasiojitambua wale jeuri yao! Lakini uchunguzi ufanyike kwa umakini mkubwa kubaini ssbabu halisi!!Hapana lazima uchunguzi ufanyike, wale Galaxy wamepewa ushindi wa zawadi na wachezaji wetu wajinga wasiojitambua.
Kwa wale wachezaji wapumbavu na ule upumbavu wao wa jana,huyo atakuwa paka tu. Tumesajili sana ‘Wavulana’ kuliko ‘Wanaume’Utakuwa unafanya kosa kubwa sana ukimwona Simba amenyeshewa mvua halafu ukafikiri ni paka!! Hii ni tahadhari kwa utopolo!!
Kipigo kwenu lilikuwa ni suala la muda tu, timu ilishaonyesha dalili siku nyingi lakini mliendelea kushupaza shingo, Kama unatolewa na majimaji iliyochangamka unategemea nini mbele ya safariChonde chonde wana msimbazi wenzangu, tujiangalie na kujitathmini kwa uwazi, tusiruhusu kugombana, turekebishe na tusonge mbele!! Adui zetu tusiwape faida!! Ila tusifumbie macho udhaifu wa wazi uliopo kwenye timu yote.
Tujue tumejikwaa na kukosea wapi! Turekebishane kwa upendo na maisha yaendelee!! Anayecheka acheke sana, lakini mwisho wa siku atakayecheka mwisho atacheka sana na atakayenuna mwisho atanunà sana!
Msimu ndo unaanza, uto jiandaeni kununa sana!
Wachezaji afrika hii njaa tupu !Atakaecheka na acheke tu ila ki ukweli siamini kabisa mpaka sasa wale jamaa ni wakututoa.
Ni ujinga!! Kuomba rachi ilikiwa ni muhimu ili kuonesha wanajali maumivu waliyotusababishia mashabiki. Man U walipibwa 5 bila na liverpool lakini walau baadhi ya wachezaji na ko ha walijitokeza kuomba radhi!!Hakuna hata mchezaji mmoja wa Simba aliyejitokeza hadharani na kuomba radhi mashabiki. Kwenye mpira kuna kufungwa ila jana ilikua uzembe na uungwana ni kukubali makosa
Captain John Bocco naye kakaushaNi ujinga!! Kuomba rachi ilikiwa ni muhimu ili kuonesha wanajali maumivu waliyotusababishia mashabiki. Man U walipibwa 5 bila na liverpool lakini walau baadhi ya wachezaji na ko ha walijitokeza kuomba radhi!!
aliemuleta na aliekua anamlipa mshahara ndo huyo huyo aliemuuza, wewe ni nani mpaka unahoji hivyo?Wachezaji wasiojitambua wale jeuri yao! Lakini uchunguzi ufanyike kwa umakini mkubwa kubaini ssbabu halisi!!
Liee fundisho pia kuhusu kuuza wachezaji bila mpangilio makini. Hatusemi wachezami wasiuzwe, lakini aliye nguzo kuu kama Chama auzwe tu kwa sharti la kwamba mchezaji mbadala aliye bora zaidi AMESHAPATIKANA TAYARI NA SIYO TUTAMTAFUTA!!.
Chama alikuwa anawawezesha na kuwachezesha wengine hivyo timu nzima ikaonekana ni bora! Mchezeshaji na mbunifu akitoka timu nzima imeonekana ni mbovu!!
Nakumbuka Makelele alipotoka Real Madrid aliacha pengo kubwa sana na timu iliyumba sana!! Viera alopotoka Arsenal timu iliyumba sana!! Kila timu huwa na mchezaji nguzo!!