BADILI TABIA JF-Expert Member Joined Jun 13, 2011 Posts 32,766 Reaction score 23,230 Jun 10, 2014 #21 Balehe...
concious mind JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 1,031 Reaction score 668 Jun 10, 2014 #22 ndoto ni hisia tu , ni marudio ya matamanio ambayo tumeshindwa kutimiza
queenlishas JF-Expert Member Joined May 25, 2014 Posts 288 Reaction score 76 Jun 10, 2014 Thread starter #23 God bell said: Hilo huwa ni jini mahaba linakushughulikia. Fanya maombi ya nguvu kabla hujalala, hiyo hali itapotea kabisa Click to expand... Hao majini mahaba wanakuja na sura ya mtu unaemjua?
God bell said: Hilo huwa ni jini mahaba linakushughulikia. Fanya maombi ya nguvu kabla hujalala, hiyo hali itapotea kabisa Click to expand... Hao majini mahaba wanakuja na sura ya mtu unaemjua?
Ukwaju JF-Expert Member Joined Oct 19, 2010 Posts 13,384 Reaction score 11,286 Jun 10, 2014 #24 Ukioa yatakwisha yote hayo Tatuzi ukushamuota ndio hakupi kabisaaa hii ndio inayosababisha kumfikiria unamvua pichu unambandika mata hamadi mashuka
Ukioa yatakwisha yote hayo Tatuzi ukushamuota ndio hakupi kabisaaa hii ndio inayosababisha kumfikiria unamvua pichu unambandika mata hamadi mashuka
Nokia83 JF-Expert Member Joined Jan 16, 2014 Posts 24,636 Reaction score 44,392 Jun 10, 2014 #25 queenlishas said: Nokia mchezo napata nnapotaka wala hakuna ukame Click to expand... Kama unalala na du.du kila siku huwezi kuota hizo mambo
queenlishas said: Nokia mchezo napata nnapotaka wala hakuna ukame Click to expand... Kama unalala na du.du kila siku huwezi kuota hizo mambo
queenlishas JF-Expert Member Joined May 25, 2014 Posts 288 Reaction score 76 Jun 11, 2014 Thread starter #26 Nokia83 said: Kama unalala na du.du kila siku huwezi kuota hizo mambo Click to expand... Best cjasema kila siku napata ila kila ninapoitaji. Yaweza kua wiki mwez miez
Nokia83 said: Kama unalala na du.du kila siku huwezi kuota hizo mambo Click to expand... Best cjasema kila siku napata ila kila ninapoitaji. Yaweza kua wiki mwez miez