queenlishas
JF-Expert Member
- May 25, 2014
- 288
- 76
Jamani habari zenu..mie leo nina kaswali kidogo.
Kipi usababisha ndoto za mapenzi?
Yaani unamuota mtu unayemjua anakuja mna GEGEDANA kisawasawa mpaka hamu inaisha ukiamka asubuhi umechafuka na kuchoka ka ulikua kwenye bed mechi live..
Nini chanzo cha ndoto hizi haswaa kwa wakaka?
Hilo huwa ni jini mahaba linakushughulikia. Fanya maombi ya nguvu kabla hujalala, hiyo hali itapotea kabisa
aaah wapi ukame unaweza usiwe chanzoUkame huo unakusumbua mpk unaota kile unachohitaji
Ukame ??!! Labda kama ni mwanafunzi wa boarding ya jinsia moja.Ukame ....
Err hapo ni kulingana na imani ya mtu sayansi haisemi hivyo.Spritual husbands and wives
Hio inaendana na ya huyu hapa chini.Ni mihemko!
Exactly!!Wet dreams
kulala peke yako na nguo mostly nndo chanzo
ukilala na mwenzio uchi hupati ndoto hizi
Ukame huo unakusumbua mpk unaota kile unachohitaji
Exactly!!
According to bios logos....
suluhisho ni nini Mkuu kama unafaham!