Kipi ukipendacho kutoka kwa wasabato?

Kipi ukipendacho kutoka kwa wasabato?

Status
Not open for further replies.
Sheria zao zingine zinaboa na hazina hata tija eti ni marufuku kula nyama ya jogoo kuku kwasababu jogoo ni msherati.

Pia eti wanandoa hawaruhusiwi kutumia au kulala kwenye kitanda sita kwa sita eti kinatenganisha wanandoa et kitanda sahihi ni 4×6


mkuu sio vyema kuwasingizia watu au kuwasemea uongo..
mbona nyama ya jogoo wanakula sana na pia hawana sheria inayohusu mambo ya vitanda.....
Mungu akurehemu
 
Jamani sisemi kwa lengo la kukashifu, kwa muda mrefu nimechunguza wasabato marafiki zangu na wengine ninaowajua, nikahitimisha kuwa wasabato ni malaya/wapenda ngono kuliko wakristu wengine na wanapiga kimyakimya. Hebu na nyie wachambueni mnaowajua


mkuu kila kwenye ngano hapakosi magugu mi sijaona dini ambayo huwezi ukakuta hayo mambo
 
1~wana misimamo mikali
2~kutanguliza sala kila mahali (inasemekana hata waitaka kuanza kugegedana lazima maombi)
3~rafiki yangu mmoja (msabato) anapiga sana tungi na kitimoto, ana mademu wengi tu
4~wanaichambua biblia vzr sana
5~wanazijua sana dawa za matunda na mimiea (Tiba asilia)
Na mengine mengi tu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom