Mwanga Mkali
JF-Expert Member
- Jul 8, 2018
- 1,289
- 2,414
think logically...Salaam wadau
Kumekuwa na mijadala mingi ya kwa nini watu wengi hawafanikiwi katika shughuli zao. Kiuchumi, kifamilia, kielimu na nk. Moja ya sababu zilizo tajwa ni namna yao kufikiri mambo. Kwamba mafanikio au kuanguka huko hutegea namna yao kufikiri.
Nahitaji tusaifiane kama mada inavyo jieleza kipi ni Bora?
Nawasilisha.
Kwa kuzingatia hoja yako tuchukulie mfano huu kati ya watu hawa wawili A na B , A alisema "kazi hii nimeifanya kwa masaa 10 imenichosha Bora niende nyumbani nikafanye usafi wa nyumba nzima" mwenzie B kwa kutumia mantiki ya "uchovu" aliona mwenzie ameongea jambo linalo pishana na mantiki hiyo.think logically...
unajua we live in the universe that provides a number of possibility any any thing...
we dance in the matrix form of existance...
ulimwengu umeweka option nyingi za kusurvisha viumbe wake..
ndo mana unaweza ukawa huna kitu ila gafka ukapata wazo ambalo linakuja kubadili mawazo uliyokuwa nayo..
logic ndo kila kitu..maisha haya tunayoishi yapo under logic consistency...
bila logic reasoning huwez kujua kwanini tupo wengi na tabia tofauti but kupitia utofauti huo ndo mana tunaishi kwa kutengemeana..
so logical brings alternative to survive..
usiwe na jibu moja ,utakosa namna ya kuishi...
Sent using Jamii Forums mobile app
ndo manakeKwa kuzingatia hoja yako tuchukulie mfano huu kati ya watu hawa wawili A na B , A alisema "kazi hii nimeifanya kwa masaa 10 imenichosha Bora niende nyumbani nikafanye usafi wa nyumba nzima" mwenzie B kwa kutumia mantiki ya "uchovu" aliona mwenzie ameongea jambo linalo pishana na mantiki hiyo.
Upande wa pili ulikuwa hivi, kazi aliyokuwa akiifanya ni kukokotoa hesabu za gawio la wanahisa wa kampuni yao hivyo alikaa kwa muda mrefu na kuuchosha ubongo, alihitaji kufanya aina nyingine ya kazi ili kuupumzisha ubongo kwa kufanya kazi za nguvu na kutembea tembea.
Moja ya tafiti inasema kufikiri kimantiki ni mchakato wa kuwa uwezo wa kumbukumbu za matukio ya muda mfupi Kisha kuzihusanisha na matokea ya matukio ya baadae.
Kwa mfano huo B hakuona kwa hidden logic ya A kwamba angeweza kuupumzisha ubongo kwa kazi za usafi, hii inamaana hakufikiria tukio la muda mfupi (ukokotoaji) la mwenzie kabla ya kushangaa fikira za mwenzie.
A na B Nani alikuwa sahihi?
What are the skills of thinking correctly? Please Come with vivid examples.Think correctly. Hio ndio ina last longer. Hata kama umeanzisha project kama utafikiria kwa usahihi zaidi project itakupeleka mbali.
Hivi kwanini Albert Einstein alisema kwamba:Unawezaje kufikiri Correctly (usahihi) bila kutumia Logic (mantiki)?.
Hivi ni vitu viwili vinavyoendana, huwezi kufanya kimoja ukafanikiwa hata siku moja. Ni lazima uweze kuwa na logic ya kitu unachofanya ili kufanikisha kwa usahihi. Haitawezekana ukakamilisha jambo bila kuwa na logic ya kwanini unalifanya!.
Tuchukulie unataka kufungua biashara ya Nyanya hatua ya kwanza ni lazima ujue nini unataka kipeleka sokoni, vitu kama aina, muda, ubora, wateja, soko, package, msimu na bei ni vitu vya lazima kuvijua kabla hujaanza na hapo umetumia logic (mantiki) then unapoanza rasmi utafanya uzalishaji na kufata sheria ulizojiwekea hapo awali ili usipate hasara sokoni kwenye after sales hapo sasa unakuwa umetumia usahihi (correct).
Huwezi sema hili jambo nimelifanya kwa Logic (mantiki) bila Correction (usahihi) au huwezi sema hili jambo nimelifanya Correctly (sahihi) bila Logic (mantiki) its irrelevant!.
Unaweza tenganisha mafuta kwenye maji lakini huwezi tenganisha Mantiki na Usahihi.
Mkuu mimi nitofautiane na wewe kidogo. Naona kuna uwezekano wa kufikiri kwa mantiki lakini usiwe sahihi. Nizungumzie hapo Kwenye mfano wako. Assume MTU ambaye ametumia logic katika kufanya vitu hivyo alivyo ainisha hapo. (Muda,solo nk). Lakini kikatokea kitu labda ugonjwa ambao ni mpya kwa msimu huo(Dawa hazipatikani au zimeshindwa kuutibu) akapata hasara. Huyu MTU atakuwa amefikiria kwa Mantiki lakini hajawa sahihi.Unawezaje kufikiri Correctly (usahihi) bila kutumia Logic (mantiki)?.
Hivi ni vitu viwili vinavyoendana, huwezi kufanya kimoja ukafanikiwa hata siku moja. Ni lazima uweze kuwa na logic ya kitu unachofanya ili kufanikisha kwa usahihi. Haitawezekana ukakamilisha jambo bila kuwa na logic ya kwanini unalifanya!.
Tuchukulie unataka kufungua biashara ya Nyanya hatua ya kwanza ni lazima ujue nini unataka kipeleka sokoni, vitu kama aina, muda, ubora, wateja, soko, package, msimu na bei ni vitu vya lazima kuvijua kabla hujaanza na hapo umetumia logic (mantiki) then unapoanza rasmi utafanya uzalishaji na kufata sheria ulizojiwekea hapo awali ili usipate hasara sokoni kwenye after sales hapo sasa unakuwa umetumia usahihi (correct).
Huwezi sema hili jambo nimelifanya kwa Logic (mantiki) bila Correction (usahihi) au huwezi sema hili jambo nimelifanya Correctly (sahihi) bila Logic (mantiki) its irrelevant!.
Unaweza tenganisha mafuta kwenye maji lakini huwezi tenganisha Mantiki na Usahihi.
Kilicho bora is to think intelligently/rationally.Salaam wadau
Kumekuwa na mijadala mingi ya kwa nini watu wengi hawafanikiwi katika shughuli zao. Kiuchumi, kifamilia, kielimu na nk. Moja ya sababu zilizo tajwa ni namna yao kufikiri mambo. Kwamba mafanikio au kuanguka huko hutegea namna yao kufikiri.
Nahitaji tusaidiane kama mada inavyo jieleza kipi ni Bora?
Nawasilisha.
Unawezaje kufikiri Correctly (usahihi) bila kutumia Logic (mantiki)?.
Hivi ni vitu viwili vinavyoendana, huwezi kufanya kimoja ukafanikiwa hata siku moja. Ni lazima uweze kuwa na logic ya kitu unachofanya ili kufanikisha kwa usahihi. Haitawezekana ukakamilisha jambo bila kuwa na logic ya kwanini unalifanya!.
Tuchukulie unataka kufungua biashara ya Nyanya hatua ya kwanza ni lazima ujue nini unataka kipeleka sokoni, vitu kama aina, muda, ubora, wateja, soko, package, msimu na bei ni vitu vya lazima kuvijua kabla hujaanza na hapo umetumia logic (mantiki) then unapoanza rasmi utafanya uzalishaji na kufata sheria ulizojiwekea hapo awali ili usipate hasara sokoni kwenye after sales hapo sasa unakuwa umetumia usahihi (correct).
Huwezi sema hili jambo nimelifanya kwa Logic (mantiki) bila Correction (usahihi) au huwezi sema hili jambo nimelifanya Correctly (sahihi) bila Logic (mantiki) its irrelevant!.
Unaweza tenganisha mafuta kwenye maji lakini huwezi tenganisha Mantiki na Usahihi.
Zote ni sawa... kutegemea na scenario ya wakati huo...
Kufikiri kimantiki ni sawa pale linapokua ni jambo linalohitaji ushawishi zaidi... mfano wewe ni daktari bingwa wa mishipa ya fahamu unayetegemewa unaenda kua katibu kata...
Kufikiri kwa usahihi ni sawa pale linapokua ni jambo linalohitaji msukumo uliyoambatana na hisia zaidi... mfano usimfanyie jambo binadamu mwenzako ambalo wewe binfasi usingependa kufanyiwa...
Cc: mahondaw