Kipi kinachomzuia Putin Kuminya kitufe cha Nyuklia

Pearce

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2018
Posts
732
Reaction score
1,746
Kadi aliyobakia nayo kidiplomasia ni kitisho Cha mashambulizi ya Nyuklia dhidi ya Ukraine na nchi Neutral kama vile Finland na Sweden.

Kadi yake ya kuivamia Ukraine ili kuionyesha Dunia yeye sio wa mchezo mchezo au Super Power imeshindwa mletea matokea aliyotarajia.

Putin anapotamka "Unpredictable Consequences" huwa anamaanisha kutumia siraha hizo.

Ambapo atakapominya kitufe icho kuelekea nchi washirika wa NATO au anazozi bully "hasa majirani zake" katika dakika 20 zijazo yeye na ofisi yake Kremlin pamoja na jiji zima la Moscow litakuwa majivu.

Na hapo Dunia yote bila kusahau Afrika kwa jumla hatutakuwa sawa.

Hatutakuwa sawa tena kiuchumi sababu mfumo wa Uchumi wa Ulimwenguni tunategemeana.

Hatutakuwa sawa kwa hali ya hewa pia sababu athari ya mionzi kuelekea kwenye O-zone layer pamoja na mzunguko wa Mawingu ya Nuclear yenye hewa ya Sumu.

Na kuna bidhaa ambazo hazitapatikana tena kwa hiyo Ulimwengu utakuwa umeenda kwenye hatua nyingine ya uharibifu na uangamivu wa Binadamu.
 
Kwani Ni Russia pekee Mwenye hivyo vitufe??
Si ndio Maana hawezi thubutu,Wengine wamekaa kimya wakati wanayo,ni Ushamba tu Umemzidi huyo putini wenu..
Unadhani kama nchi nyingine wasingekuwa navyo si angeshabonyeza siku ambayo Soviet inaanguka
 
Ninaamini kabisa mataifa makubwa yameshakaa standby kwa ajili ya kujidefend ktk hili eneo. Hata yeye mwenyewe mpaka achukue maamuzi hayo ni lazima ajiandae kuwa atapokea upinzani wa kukabiliana na nuclear hizo toka ulaya.

Kama sikosei, Russia ni moja ya nchi ambayo ina milima yenye miamba wakaitengeneza ili kuzuia viongozi wao dhidi ya mashambulizi ya nuclear.

Ulaya inaweza ikapata shida mno kukabiliana na hizi Nukes ila US atamfuta Russia mpaka huko milimani.
 
Putin ni Sadam mtarajiwa.
[emoji1][emoji1] dementia is for real.
FPNS316XwAw2Rd4.jpg
 
Kwani Ni Russia pekee Mwenye hivyo vitufe??
Si ndio Maana hawezi thubutu,Wengine wamekaa kimya wakati wanayo,ni Ushamba tu Umemzidi huyo putini wenu..
Na hawa watu 11mil Putin ndio aliwaua,Mshamba Sana huyu Putin.Alaaniwe kabisa
Screenshot_20220324-015904.jpg
 
Unadhani kama nchi nyingine wasingekuwa navyo si angeshabonyeza siku ambayo Soviet inaanguka
Mabomu hayo Russia ayatoe wapi?Russia Ni nchi maskini mnooooo, wanajeshi wake waliishiwa hata chakula wakabakiza Cha siku 3 tu na hata Sasa Ni China ndio inawapa Silaha.

Russia apigweeeeeee
 
Ndio hapo nauliza kuna haja gani ya kutengeneza hizo siraha za nuclear?. Maana ni kichaa tu anaweza kuzitumia. Ndio hapo itakuja kutokea rais mmoja kichaa wa north Korean ataki-duu
Kiduku kashapata kichaa mwenzake huko South Korea,akipiga na yeye anapiga
 
Kadi aliyobakia nayo kidiplomasia ni kitisho Cha mashambulizi ya Nyuklia dhidi ya Ukraine na nchi Neutral kama vile Finland na Sweden.

Kadi yake ya kuivamia Ukraine ili kuionyesha Dunia yeye sio wa mchezo mchezo au Super Power imeshindwa mletea matokea aliyotarajia.

Putin anapotamka "Unpredictable Consequences" huwa anamaanisha kutumia siraha hizo.

Ambapo atakapominya kitufe icho kuelekea nchi washirika wa NATO au anazozi bully "hasa majirani zake" katika dakika 20 zijazo yeye na ofisi yake Kremlin pamoja na jiji zima la Moscow litakuwa majivu.

Na hapo Dunia yote bila kusahau Afrika kwa jumla hatutakuwa sawa.

Hatutakuwa sawa tena kiuchumi sababu mfumo wa Uchumi wa Ulimwenguni tunategemeana.

Hatutakuwa sawa kwa hali ya hewa pia sababu athari ya mionzi kuelekea kwenye O-zone layer pamoja na mzunguko wa Mawingu ya Nuclear yenye hewa ya Sumu.

Na kuna bidhaa ambazo hazitapatikana tena kwa hiyo Ulimwengu utakuwa umeenda kwenye hatua nyingine ya uharibifu na uangamivu wa Binadamu.
Ogopa sana mtu mkimya. Putin maneno mengi anahenyeshwa na Ukraine! Akibonyeza watu wanabonyeza, watakaoumia ni sisi waafrika.
 
Back
Top Bottom