Kipi kilikufurahisha JamiiForums mwaka huu?

mtwa mkulu

JF-Expert Member
Sep 11, 2013
8,577
11,204
Wakuu heshima kwenu!

Tunaelekea kumaliza mwaka sasa, je ni topc gani uliipenda zaidi JamiiForums? Au ni comment ipi uliipenda mwaka huu?
Ni mwana JF yupi ulimpenda mwaka huu? Ni picha ipi ilikufurahisha zaidi mwaka huu?

Binafsi ile topic ya kwanza kumpendekeza professor Ndalichako kuwa waziri elimu niliipenda japo iliunganishwa na maoni kwa muheshimiwa Magufuli!

Kama mods wanaweza waitenganishe kwa maana imeleta matunda. Namaliza mwaka topic zangu tatu zikiwa kapuni, sio mbaya sana.

Yote kwa yote japo haikuwa mwaka huu, thread ya Chris Lukosi aliyosema "Atakaye sema nimeiba fedha za Mwangosi nampeleka polisi" ilinifurahisha daima. Watu walitiririka mpaka mkuu akakimbia JamiiForums, hope amechange ID.

Karibu wana JamiiForums..
 
Kuna huyu jamaa anaitwa BAK sijui alipotelea wapi, juhudi zangu zote za kumsakanya zimegonga mwamba
 
Last edited by a moderator:
Naikumbuka ile thread iliyo mhusu muhongo kutimuliwa uwaziri baada ya sakata la escrow
 
Hata hivyo JF imenivutia mno hasa linapokuja swala la breki nyuzi....alafu ukifungua unakutana na simiyu aka muongo mzuri...
 
Back
Top Bottom