Jambo moja linalochosha na kukatisha tamaa maishani ni kuishi pasina utoshelevu.
(hakika maisha ni ubatiri na kujilisha upepo).
* Wanadamu hufanya yote yaliyo ndani ya uwezo wao kutafuta utoshelevu ktk maisha haya.
Wapo waliokubali kuuza muda na maarifa yao ili kutafuta utoshelevu.
*Wapo wanaokubali hata kuiba, kuua na kufanya maovu yote kutafuta utoshelevu.
* Wapo waliotoa sadaka familia zao, miili yao kutafuta utoshelevu.
Lakini katika maangaiko hayo yote watu wengi bado wanaishi maisha yenye chembe nyingi za uzuni na punje chache za kicheko na furaha.
Wadau tujadili ili kujua ni kitu kipi huleta utoshelevu na furaha maishani....?