Kipi Chuo Kikuu Bora Tanzania??

Mandla Jr.

JF-Expert Member
Dec 15, 2013
3,099
630
Tanzania kwa sasa imesheheni vyuo vikuu vingi, kwa mfano mdogo
kuna Mikoa ina vyuo vikuu vitatu na kuendelea. Ni maendeleo mazuri!

Ubora wa Elimu unaotolewa katika vyuo tulivyonavyo ukoje na unaendana
na nyakati tulizo nazo???

Kipi kilicho chuo bora kwa Tanzania???
 
Chuo kikishakuwa na maprofesa na ma doctor waliobobea ni chuo bora..
 
ranking
World Rank
University
Det.
Country
Presence Rank*
Impact Rank*
Openness Rank*
Excellence Rank*
1
381
University of Kwazulu Natal


1370
368
817
549
2
390
University of Cape Town


765
692
751
266
3
462
Stellenbosch University


451
638
642
448
4
696
Makerere University


635
832
786
854
5
719
University of the Witwatersrand


1883
1360
315
422
6
746
University of Pretoria


503
1237
341
607
7
834
University of the Western Cape


2904
770
2371
1247
8
1113
Obafemi Awolowo University


3289
717
10083
2156
9
1191
Rhodes University


1420
1747
1308
1190
10
1206
Cairo University


1590
2480
1976
653
11

1419
University of Dar Es Salaam


3546
1477
7286
1842

Vingine waweza angalia hapa
http://www.webometrics.info/en/Africa
 
NATIONAL INSTITUTE OF TRANSPORT..

Kimetoa madereva wengi sana wa boda-boda, wenye mapengo na mangeu... Kule MOI wamemaliza POP zote, vyuma, magongo n.k I am proud of NIT, i think is the best college in Tanzania, because we witnesses its products out!
 
Usibabaike wala kutia shaka ni SOKOINE UNIVERSITY OF AGRICULTURE angalia world academic records performance za Universities.
 

Yaani katika 11 Bora vyuo Saba vyote vinatoka south Africa??? Vya Kule Misri mbona sijaona?
 
Top 100 Universities and Colleges in Africa by the
4icu.org University Web Ranking
1 University of South
Africa South Africa
2 University of Cape Town South Africa
3 Universiteit Stellenbosch South Africa
4 University of Dar es
Salaam Tanzania
5 University of KwaZulu-
Natal South Africa
6 University of Pretoria South Africa
7 Cairo University Egypt
8 University of the
Witwatersrand South Africa
9 University of the
Western Cape South Africa
10 Obafemi Awolowo
University Nigeria
11 Makerere University Uganda
12 University of Botswana Botswana
 

Kwi kwi kwi..
 

Mkuu UDSM ni ya nne, Duuuuhh??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…