vikodin Member Joined Apr 14, 2018 Posts 55 Reaction score 96 Nov 6, 2020 #1 1: mpenzi wako hasa mwanaume unaedeti nae awe anacheat kwa kutoka na demu mwingine ambae sio malaya wakujiuza au 2: awe ni muumini wa zile malaya kabisa wale wanaosimama rodini au kwenye mabaa ambao kimsingi mkimaliza tendo hamjuani tena Ni kipi bora?
1: mpenzi wako hasa mwanaume unaedeti nae awe anacheat kwa kutoka na demu mwingine ambae sio malaya wakujiuza au 2: awe ni muumini wa zile malaya kabisa wale wanaosimama rodini au kwenye mabaa ambao kimsingi mkimaliza tendo hamjuani tena Ni kipi bora?
Carleen JF-Expert Member Joined Nov 6, 2018 Posts 8,407 Reaction score 28,836 Nov 6, 2020 #2 'asi cheat na kifaa oote hapo, na kwanza kwanini a cheat'..??
CONTROLA JF-Expert Member Joined Sep 15, 2019 Posts 7,087 Reaction score 23,868 Nov 6, 2020 #3 Carleen said: 'asi cheat na kifaa oote hapo, na kwanza kwanini a cheat'..?? Click to expand... kuna watu wana wiivu hii dunia
Carleen said: 'asi cheat na kifaa oote hapo, na kwanza kwanini a cheat'..?? Click to expand... kuna watu wana wiivu hii dunia
vikodin Member Joined Apr 14, 2018 Posts 55 Reaction score 96 Nov 6, 2020 Thread starter #4 Carleen said: 'asi cheat na kifaa oote hapo, na kwanza kwanini a cheat'..?? Click to expand... Kwaio unakaba hadi penalty
Carleen said: 'asi cheat na kifaa oote hapo, na kwanza kwanini a cheat'..?? Click to expand... Kwaio unakaba hadi penalty
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 59,064 Reaction score 69,488 Nov 6, 2020 #5 Ccm Hatatoka Madarakani Kwa Mada Hizi
vikodin Member Joined Apr 14, 2018 Posts 55 Reaction score 96 Nov 6, 2020 Thread starter #6 Kennedy said: Ccm Hatatoka Madarakani Kwa Mada Hizi Click to expand... Ccm5tena bado 5 ya bonus
ShyaRuwa JF-Expert Member Joined May 30, 2015 Posts 8,241 Reaction score 14,748 Nov 6, 2020 #7 Ukitaka manzi asikumaind cheat na manzi mkali kumzidi yeye. Hapo atajihisi ame win kombe.
ShyaRuwa JF-Expert Member Joined May 30, 2015 Posts 8,241 Reaction score 14,748 Nov 6, 2020 #8 Kennedy said: Ccm Hatatoka Madarakani Kwa Mada Hizi Click to expand... Hasa akili kama zako zinaloleta mada za siasa kwenye jukwaa la mapenzi.
Kennedy said: Ccm Hatatoka Madarakani Kwa Mada Hizi Click to expand... Hasa akili kama zako zinaloleta mada za siasa kwenye jukwaa la mapenzi.
vikodin Member Joined Apr 14, 2018 Posts 55 Reaction score 96 Nov 6, 2020 Thread starter #9 CHARMILTON said: Hasa akili kama zako zinaloleta mada za siasa kwenye jukwaa la mapenzi. Click to expand... Aende kwene jukwaa la siasa akapambane
CHARMILTON said: Hasa akili kama zako zinaloleta mada za siasa kwenye jukwaa la mapenzi. Click to expand... Aende kwene jukwaa la siasa akapambane
Khantwe JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 59,468 Reaction score 119,622 Nov 6, 2020 #10 Hakuna kilicho bora hapo au Kaboom unasemaje
Little brain JF-Expert Member Joined Oct 31, 2020 Posts 4,395 Reaction score 6,553 Nov 6, 2020 #11 Swali lako gumu mh spika
Toffy_boy JF-Expert Member Joined Aug 9, 2020 Posts 280 Reaction score 310 Nov 6, 2020 #12 Nife waseme nimekufa kwenye harakat
Patra31 JF-Expert Member Joined Apr 24, 2020 Posts 6,933 Reaction score 13,944 Nov 6, 2020 #13 Hakunaga cheating yenye uangalau kwenye mapenz