Kipi bora zaidi

Kipi bora zaidi

Mwanampuna

Senior Member
Joined
Jul 21, 2016
Posts
131
Reaction score
80
Habari wana Jf
Wanawake mnaona Kipi bora kati ya mwanaume kuoa mke wa pili au acheat kimya kimya?
 
Kwa hali ya afya ya sasa maradhi ni mengi,hakuna zuri hapo mana tutakufa wengi
 
Bora aoe hata wake wanne nijue najipangaje na mashambulizi.
 
Habari wana Jf
Wanawake mnaona Kipi bora kati ya mwanaume kuoa mke wa pili au acheat kimya kimya?
Mkuu kwani ungekuwa demu ungechagua kipi kati ya hivyo???...majibu yetu yatachepuka kutoka kwenye jibu lako!!!
 
Mkuu kwani ungekuwa demu ungechagua kipi kati ya hivyo???...majibu yetu yatachepuka kutoka kwenye jibu lako!!!
Bora aoe nahisi itakua akioa majukumu yatambana so itakua ngumu kuchepuka kwa mwingine
 
Back
Top Bottom