Kipi bora? Na utamuwazia nini?

babu eeeeeh! mbona umeniandama ivooo!! tafadhal funga domo lako kabla sijawaza cha kukufanya tafazal tafazal!! kaa chonjo kijana

hahahaaaa! Museee inataka kupandisa musuka......yeroooo subhaiii
 
Naona umeamua kumpa makavu.......mahusiano ya siku hizi ni balaa mtu wamenuniana tu anakuja huku halafu anatuuliza sisi wakati yeye ndo anafahamu sababu za kununiana.
 
Khaaaa ww mbona una maneno makali hiviii??
 
kinyama akalele fijo. Ikholonda ukutika umpiki
 
babu eeeeeh! mbona umeniandama ivooo!! tafadhal funga domo lako kabla sijawaza cha kukufanya tafazal tafazal!! kaa chonjo kijana

Hahaha!!

Unatishia kujamba wakati umekamatwa na haro la mtindi....
 
umeisha omba "Yesu" akusaidie, bado ukaongezea na "wallahi". tukueleweje sasa na huku umekimbilia kutafuta nini???? mbona una imani haba kuliko hata punje ya mchanga wa macca!?????
 
heading na contents, utadhani trein na gari moshi???
 
Naona umeamua kumpa makavu.......mahusiano ya siku hizi ni balaa mtu wamenuniana tu anakuja huku halafu anatuuliza sisi wakati yeye ndo anafahamu sababu za kununiana.

ts 4 days now jamn try 2 understand u ppo! anyaway mdomo ni mali yenu na hamlipii vat u just talk talk talk talk talk talk mkimaliza nambien!
 
Kaazi kweli kweli. Tumeishiwa kabisa namna ambavyo tunaweza kutatua majambo.
 
ts 4 days now jamn try 2 understand u ppo! anyaway mdomo ni mali yenu na hamlipii vat u just talk talk talk talk talk talk mkimaliza nambien!

Huyo mwana hakupendi, siku 4 kisa hujapokea simu!? Tena imepigwa usiku.
 
Hahaha!!

Unatishia kujamba wakati umekamatwa na haro la mtindi....

ama kweli mshukuruni mung kwa kila jambo anyway namshukuru mungu kwa watu kama hawa b'se 4 their own way they made my day!
 
heading na contents, utadhani trein na gari moshi???

maskini weee unatia huruma mwehh! kwan trein na gari mosh kuna tofauti? trein ni kidhungu gari moshi ni kiswahili au kisa kiswahil tunaita treni?? eb kasome the devt of lg samhow itakusaidia!
 
Mapenzi ya kibongo bana eti mtu asipopokea au kutopatikana we unawaza yuko nyumba ndogo anakusaliti yaani unajicomplicate mwenyewe! Wakati kwa mzungu yeye akimpigia simu mpenzi wake akaacha kupokea On the sport anamtumia na mesg ya kumpa pole ni dhahili kwamba yuko bize hataki usumbufu. Ivi kweli mtu kakuaga anaenda kazini alafu asipokee simu we useme unaibiwa
 
Mpgie mtu wake wa karibu uliza km huyo mtu n mzma? Ana cm yake? Maana icjekuwa kaibiwa cm maana wezi wa cku hz wanatabia ya kuiba cm hawabadili laini. So mm nngeenda na hyo approach kwanza..then ndo nngetoa konclusion..
 
Lakini mkuu huna haja ya kumshambulia kiivyo kama hukua na mchango ungepiga kimya maana kutokuchangia sio dhambi,ni mtazamo tuu
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…