Danpol
JF-Expert Member
- Aug 15, 2013
- 5,682
- 8,809
Hapana, J Karan n mtu mwingine mkuu,wa kitambo sana...J karan mmilik n mtu wa dini sana, wakati kasri zilikua zinagonga mziki balaaYule mzee kasri alikua na DCM nyingi gongo la mboto pamoja na zingine ziliandikwa J3 Karan,sijui nini kilimkuta,ambaye anaongoza kwa kuwa na gari nyingi sahizi ni Madilu nazo zipo nyingi sana kwa hapa dar
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app