Kipi bora kununua Hiace mpya kwa 30M ama kuchukua Tata Marcopolo kwa mkopo

Yule mzee kasri alikua na DCM nyingi gongo la mboto pamoja na zingine ziliandikwa J3 Karan,sijui nini kilimkuta,ambaye anaongoza kwa kuwa na gari nyingi sahizi ni Madilu nazo zipo nyingi sana kwa hapa dar

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana, J Karan n mtu mwingine mkuu,wa kitambo sana...J karan mmilik n mtu wa dini sana, wakati kasri zilikua zinagonga mziki balaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nadhani tatizo ni tabia ya watu kuigana kwenye utendaji wa kazi. Ukiwa na daladala na ukaendesha biashara yake akama ilivyo desturi ya wenye daladala wote ni lazima utalia. Wengi utakuta wanampa dereva na konda halafu wanamwambia nataka kiasi fulani kwa siku... njia hiyo ni lazima itakuumiza na gari litakongonyoroka mapema sana. Njia nzuri ni mtu kubuni njia ya utendaji kazi tofauti. Ni bora umiliki gari moja ambayo utakuwa unaendesha au kukusanya fedha mwenyewe kuliko kuwapa watu wafanye wanavyotaka.
Wewe si mfanya biashara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom