Kipi bora kati ya Quality assuarance na Physical Education?

MNJONJO 10

New Member
May 27, 2022
2
0
Nina mdogo wangu ana degree ya Ualimu na ni mwajiriwa Tanga. Kwa sasa anataka kwenda kusoma diploma ya quality assuarer au physical education.

Je, kipi Bora na chenye tija Kati ya hiv vitu viwili?
 
Nina mdogo wangu ana degree ya Ualimu na ni mwajiriwa Tanga. Kwa sasa anataka kwenda kusoma diploma ya quality assuarer au physical education.

Je, kipi Bora na chenye tija Kati ya hiv vitu viwili?
Zote ni nzuri
Physical bado wachache sana, wanahitajika sekondari , vyuo vya kat mpaka vyuo vikuu
Pia kuna taasisi zinawahitaji
Quality assurance nayo nzuri maana ofisi nyingi zinahitaji wadhibiti ubora
 
Back
Top Bottom