Kipi bora kati ya haya?

City Rider

JF-Expert Member
Jul 31, 2022
403
1,210
Tupeana elimu kidogo ni kipi bora kati ya kuishi kwenye nyumba yako charambe, kimbiji, chanika na kiromo bagamoyo nakupanga nyumba mwenge, makongo, goba, kimara, changanyikeni.

Kwa kuzingatia gharama, na Covinience kwa ujumla kwa wenye mishe mishe mjini
 
Siku zote kupanga ni kuchagua. Ingawa nataka tu niwe mkweli; kuishi kwako kuna uhuru na utulivu zaidi, kuliko kuishi kwenye nyumba ya kupanga.
 
Hakuna baba mwenye gari, lakini kuna baba mwenye nyumba.

Bora ukae kwako tu. Hizo shughuli hujui kesho itakuaje. Unaeza amka asubuh fresh ukashangaa umepigwa tairi mchana kiuno imevunjika wewe n wa kujisaidia na kulala kitandani. Kodi ikiisha utajua wazi kua uliuza bunduki ukanunua rungu.

Lakini kwenye nyumba yako, hata ukiishiwa bado utalala usingizi mnono.
 
Point
 
Tupeana elimu kidogo ni kipi bora kati ya kuishi kwenye nyumba yako charambe, kimbiji, chanika na kiromo bagamoyo nakupanga nyumba mwenge, makongo, goba, kimara, changanyikeni.

Kwa kuzingatia gharama, na Covinience kwa ujumla kwa wenye mishe mishe mjini
ni bora kuishi chanika km harakati zako zipo chanika.

ila ni bora pia kuishi mwenge kama harakati zako zipo mwenge kiufupu tazama gharama ya nauli per day.

na mzunguko unapanda magari mangap kama unatumia usafiri wa public
 
Nimekupata vizuri lakini kumiliki nyumba si lazima usihi kwenye hiyo nyumba, je wazo la kupangisha nyumba yako alafu na wewe kupanga ili kuwa na urahisi wa kufanya shughuli zako town limekaaje?
 
Binafsi siwezi kuhama town labda mniue nitajenga popote lkn town sitoki!,maisha ya kupanda daladala kwangu big no!town sihami
 
Back
Top Bottom